Amerika yafungia Taliban pesa

Na MASHIRIKA AMERIKA imefunga akaunti za Benki Kuu ya Afghanistan zenye Sh950 bilioni ili kuuzuia utawala mpya wa Taliban kupata fedha...

Miaka 10 tangu auawe na Amerika, Osama bado ana ufuasi mkubwa

Na AFP MWONGO mmoja tangu alipowindwa na kuuawa nchini Pakistan na vikosi maalum vya Amerika, mwasisi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, bado...