WANDERI KAMAU: Wanawake ni thawabu kuu tunayofaa kujivunia

Na WANDERI KAMAU NINAPOWATAZAMA watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa wakiwadhulumu wanawake, huwa ninasikitika sana. Pengine huwa...

Watambue wanawake bomba walio chini ya miaka 30

LILYS NJERU NA WANGU KANURI Kwa Muhtasari Mnamo Januari, tuliuliza maoni ya watu katika sekta mbalimbali, ili kuunda orodha ya wanawake...

BENSON MATHEKA: Wagombeaji wa kiume wazuiwe kuwadhalilisha wa kike

Na BENSON MATHEKA Zimebaki siku 13 wapigakura Kaunti ya Machakos wamchague seneta wao kujaza kiti kilichobaki wazi kufuatia kifo cha...

Hazina za wanawake, vijana kuunganishwa

Na SIAGO CECE Serikali itaunganisha hazina tatu za Uwezo, Wanawake na Vijana kuwa moja na kuongezea pesa hazina mpya itakayobuniwa kwa...

LUCY DAISY: Serikali ielewe uchumi umezorota, iwaruhusu wanawake fursa wachuuze bidhaa

Na LUCY DAISY NCHINI Kenya, kuna wanawake wengi sana ambao hawana namna ya kujipatia riziki. Hawana kazi ilhali wana watoto na familia...

DAISY: Wanawake waridhike na maumbile, wasijiumbue

Na LUCY DAISY WANAWAKE wa kisasa wa kiafrika hasa wasichana walioko katika umri wa miaka 20 hadi 30, wamekataa kujikubali...

Wanawake wangali nyuma kimaendeleo – Ripoti

Na MASHIRIKA IMEBAINIKA kuwa ni karibu thuluthi moja pekee ya wanawake nchini wanaoweza kushiriki kikamilifu katika masuala ya kisiasa,...

Kesi ya malipo duni ya wanasoka wanawake timu ya taifa ya Amerika yatupwa

Na MASHIRIKA LOS ANGELES, AMERIKA OMBI la timu ya taifa ya soka ya wanawake nchini Amerika la kutaka kulipwa kiwango sawa cha...

SENSA: Simu nyingi nchini zinamilikiwa na wanawake

Na DIANA MUTHEU WANAWAKE wengi nchini Kenya wana simu za mkono kuliko wanaume, ripoti iliyoandaliwa na Shirika la Takwimu Nchini (KNBS),...

Wanawake waitaka jamii kuhakikisha visiki dhidi yao vinaondolewa

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya wanawake kupata nafasi katika maswala mengi ya kijamii, imejadiliwa kwenye kongamano moja Maanzoni...

Kongamano lajadili maswala muhimu ya kuinua wanawake

Na LAWRENCE ONGARO WANAWAKE nchini wanataka waheshimiwe na kupata nyadhifa muhimu za uongozi angalau kwa hadi asilimia 50. Zaidi ya...

Wanawake nyota waliong’aa katika fani mbalimbali

NA LEONARD ONYANGO Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Machi 8, 2019, Taifa Leo Dijitali inaangazia wanawake sita...