Nimefanyia wanasoka wa Harambee Stars mambo mengi makubwa bila ya kujigamba – Wanyama

Na CHRIS ADUNGO BAADA ya Victor Wanyama kulaumiwa kwa uongozi wake kambini mwa Harambee Stars na kucheza kwa kujituma na kujitolea zaidi...

Bayer 04 Leverkusen ni miongoni mwa klabu zinazowania huduma za Wanyama

Na GEOFFREY ANENE BAYER Leverkusen (Ujerumani), Fiorentina na Lazio (Italia) na Rennes na Strasbourg (Ufaransa) zimejitosa uwanjani...

Bei ghali ya Wanyama yafukuza wanunuzi

Na MWANDISHI WETU TOTTENHAM Hotspur italazimika kupunguza bei ya Victor Wanyama ili kuvutia wateja kabla ya soko kufungwa Januari 31...

Wanyama aeleza kiini cha uhamisho kutoka Spurs kufeli

Na MWANDISHI WETU HUKU sehemu ndogo ya mashabiki sasa ikitaka Victor Wanyama apokonywe unahodha wa timu ya taifa ya Kenya, kiungo huyu...

ATATUA UTURUKI? Maskauti wa Galatasaray watua London kutafuta huduma za Wanyama

Na CHRIS ADUNGO MASKAUTI wa kikosi cha Galatasaray Uturuki wametua jijini London, Uingereza kuanzisha mazungumzo yatakayomshuhudia...

Afisa wa Galatasaray kuzungumza na Spurs kuhusu Wanyama

Na GEOFFREY ANENE SIKU nne baada ya kipindi kirefu cha uhamisho nchini Uingereza kufungwa Agosti 9, ripoti kutoka nchini Uturuki...

SIONDOKI SPURS: Wanyama akariri haiachi klabu yake licha ya uvumi

Na JOHN ASHIHUNDU NAHODHA wa Harambee Stars, Victor Wanyama amesisitiza kwamba haendi popote kinyume na uvumi unaoenea kwamba anajiandaa...

Wanyama akutana na DP Ruto makala ya pili ya Wanyama Roya Charity Cup yakinukia

Na GEOFFREY ANENE NAHODHA wa timu ya soka ya Kenya ya wanaume, Victor Mugubi Wanyama alitembelea Dkt William Ruto katika afisi yake ya...

Waandamana uchi kupinga mamilioni ya wanyama kuuawa ili kuunda mavazi

MASHIRIKA na PETER MBURU Barcelona, Uhispania WANAHARAKATI wa kutetea haki za wanyama pori walitekeleza maandamano wakiwa uchi na...

Baada ya ushindi Kasarani, jeraha kumweka nje Wanyama Spurs

Na GEOFFREY ANENE VICTOR Wanyama ameingia katika orodha ya majeruhi ya Tottenham Hotspur baada ya kupata jeraha la misuli ya paja dhidi ya...

Raila amtaka Wanyama asaidie kukuza vipaji nchini

Na CECIL ODONGO KIUNGO mkabaji wa Tottenham Hot Spurs Victor Wanyama ametakiwa asaidie kuimarisha viwango vya soka hapa nchini kwa...

Sina tamaa ya kuhamia Liverpool wala Man United – Wanyama

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Victor Wanyama amepuuzilia mbali kuondoka Tottenham Hotspur katika kipindi hiki kirefu cha uhamisho licha ya...