Chama cha Jubilee chasimama na ‘Baba’

CHARLES WASONGA Na WANDERI KAMAU CHAMA cha Jubilee Jumatano kilijitokeza kumtetea kiongozi wa ODM, Raila Odinga dhidi ya shutuma za...

TAHARIRI: Rais si wa Mlima Kenya pekee

NA MHARIRI MJADALA unaoendelea sasa hivi kote nchini kuhusiana na matamshi ya Rais Uhuru Kenyatta, wafaa uangaliwe kwa busara na...

Tamko la ‘Washenzi’ lilivyowakera wapigakura wa Mlima Kenya

JOSEPH OPENDA, BENSON MATHEKA Na CHARLES WASONGA TAMKO la Rais Uhuru Kenyatta la kuwaita "washenzi" wale wanaomkosoa kwa madai ya...

Kimani Ngunjri ajificha baada ya kuzindua ‘Vuguvugu la Washenzi’

Na PETER MBURU MBUNGE wa Bahati Kimani Ngunjiri anasemekana kuwa mafichoni baada ya kubaini kuwa polisi wanamwinda, baada yake kuzindua...

Mbunge aongoza maandamano ya ‘Vuguvugu la Washenzi’

Na PETER MBURU MATAMSHI ya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya viongozi wanaomsukuma ‘kupeleka maendeleo’ katika ngome yake kuwa ni...

Mbunge wa ODM amtetea Uhuru dhidi ya kejeli za wabunge wa Jubilee

Na VALENTINE OBARA MBUNGE wa Rarieda, Dkt Otiende Amollo, amemtetea Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya viongozi wa Jubilee kutoka Mlima Kenya...

Uhuru awaka lakini Moses Kuria akaa ngumu

VALENTINE OBARA, MOHAMED AHMED Na LUCAS BARASA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu aliwajibu kwa ukali wanasiasa kutoka ngome yake kuu ya...