WASIA: Geuza changamoto inayokukabili iwe daraja la ufanisi wako wa kesho

Na HENRY MOKUA UNAPOMWONA Angelica Hale akiimba, unashawishika kufikiri kwamba ni mtoto aliyelelewa kwa tunu na tamasha, bila changamoto...

WASIA: Yadumishe macho na akili yako kwenye mustakabali wako

Na HENRY MOKUA MWANAFUNZI kwa kawaida huwa na maswali kadha, baadhi ambayo huyabana yasijulikane mpaka anapokuwa na uhusiano wa karibu...

WASIA: Kumthamini mwalimu ndiyo msingi wa kumthamini mwanafunzi wake

Na HENRY MOKUA BAADA ya matokeo ya mtihani wa kitaifa wa Cheti cha Kuhitimu Kisomo cha Msingi (KCPE) kutangazwa wiki jana, mijadala...

WASIA: Patiliza changamoto inayokukabili iwe ngazi katika juhudi zako

Na HENRY MOKUA MWANADAMU alipoumbwa hakudekezwa. Badala yake, alipewa kazi ya kumshughulisha - kumpa changamoto – kazi kabla ya...

WASIA: Jinyime kisha ujitume ili kufikia upeo wa maazimio yako maishani

Na HENRY MOKUA WANAFUNZI wengi wa enzi hizi wana ndoto za kupigiwa mfano sawa na watangulizi wao. Wanayo tamaa ya kuvunja rekodi za...

WASIA: Tusiwashinikize wanafunzi kupata matokeo zaidi ya uwezo wao

Na HENRY MOKUA UMEWAHI kupewa zoezi fulani la kuchukua saa chache ukajiambia kwamba utatenga saa hizo baadaye kulikamilisha kisha...

WASIA: Yakome mahusiano ya kiholela hata yawe na mikataba mizuri

Na HENRY MOKUA MWISHONI mwa kikao kimoja nilichokuwa nacho na vijana likizoni, awamu ya maswali na majibu, binti mmoja - mwanafunzi -...

WASIA: Ziambae sauti za kukufisha moyo na kukukatisha tamaa muhula huu

Na HENRY MOKUA KUNDI la vyura liliondoka kwenda safarini. Katikati mwa safari, wawili kati ya vyura wale, walianguka kwenye tundu...

WASIA: Mazoezi ya kimwili yana umuhimu katika maisha ya mwanafunzi

Na HENRY MOKUA BINADAMU ni mzembe kwa kawaida. Hupenda kukamilisha kazi impasayo muda mfupi kabla ya wakati ufaao. Ukimpa muda...

WASIA: Zingatia kigezo cha uadilifu unapoteua rafiki, vinginevyo utadamirishwa

Na HENRY MOKUA RIZIKI alikuwa mwanafunzi stadi sana tangu ajiunge na shule ya msingi. Walimu wake wangemsifia bila kusita kwa makini...

WASIA: Ukiitumia vyema likizo unaweza kubadili kabisa mustakabali wako

Na HENRY MOKUA BARAKA alikuwa mwana wa kutegemewa sana na baba yake aliyekuwa amekonga kwani walimzaa katika uzee wao. Baada ya kifo...

Wasia wa mfu utakuwa ukizingatiwa utata ukiibuka – Mahakama

NA MAUREEN KAKAH MAHAKAMA Kuu juzi ilitoa uamuzi ambao unaheshimu wasia wa marehemu kuhusu anakofaa kuzikwa iwapo utata utaibuka na...