DOUGLAS MUTUA: Uingereza iliwanonea wauguzi wetu au hawatoshi mboga?

Na DOUGLAS M?T?A MKENYA ni kiumbe jeuri ajabu! Ukimnyima kitu atasonya, akutusi au akwambie hata hakifai kitu. Ni sungura aliyeshindwa...

Inasikitisha ni wahudumu 10 pekee wa afya wamefuzu kuajiriwa Uingereza – Kagwe

Na WANGU KANURI Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesikitikia idadi kubwa ya wahudumu wa afya kufeli kwenye jaribio la mtihani Kiingereza...

Serikali kugawana malipo na wauguzi wanaotumwa UK

Na NASIBO KABALE SERIKALI itapata asilimia fulani ya baadhi ya pesa watakazolipwa wauguzi wanaofanya kazi Uingereza kufuatia mkataba...

Agizo wahudumu wa afya waondoke nyumba za serikali

Na LUCY MKANYIKA Serikali ya Kaunti ya Taita Taveta, imewaagiza wahudumu wote wa afya waliofutwa kazi kuhama nyumba za serikali mara...

Serikali yatisha kuwapiga kalamu madaktari wagonjwa wakizidi kuteseka

BENSON MATHEKA, DIANA MUTHEU, TITUS OMINDE na LEONARD ONYANGO HUDUMA za matibabu ziliendelea kukwama katika hospitali za umma kote...

Hofu ya maafa mgomo ukichacha

Na WAANDISHI WETU MAAFA yanawakodolea macho wagonjwa nchini baada ya wahudumu wa afya wanaogoma kuacha hospitali na vituo vya afya vya...

Walimu wataka kila shule ipewe mhudumu wa afya

Na STEVE NJUGUNA CHAMA cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo (Kuppet), kimeitaka serikali kupeleka wahudumu wa afya katika shule za...

‘Wahudumu 526 wa afya wameambukizwa corona’

Na SAMMY WAWERU Wahudumu wa afya wapatao 526 ndio wameambukizwa Covid-19 kufikia sasa, imethibitisha Wizara ya Afya Jumatatu. Wizara...

Wauguzi Kisumu kurejea kazini wakilipwa mishahara

NA ELIZABETH OJINA Maafisa wa afya wa Kaunti ya Kisumu wameamua kukatiza mgomo wao na sasa wamepanga kurejea kazini Ijumaa baada ya...

Wauguzi wagoma kwa mara ya 4 mwaka huu Kisumu

ELIZABETH OJINA Sekta ya afya kaunti ya Kisumu iko mashakani humu mgomo wa wauguzi na maafisa wa afya ukifikia wiki ya mbili. Mwaka...

AFYA: Panyako na wenzake waahirisha mgomo kwa siku 21

Na CHARLES WASONGA WAHUDUMU wa afya nchini sasa wamesitisha mgomo wao ambao ulipangiwa kuanza leo Jumatatu kwa siku 21 kwa kile...

Wauguzi wakubali kurejea hospitalini

Na LUCY MKANYIKA WAHUDUMU wa afya kaunti ya Taita Taveta hatimaye walirejea kazini Jumatano, baada ya viongozi wao kuafikiana na...