WINNIE ONYANDO: Wazazi watafute muda kuwajenga watoto wao kifikra na kimaadili

Na WINNIE ONYANDO Kutafuta pesa si mbaya ila ujenzi wa ukuruba na ukaribu na mwanao ni wa maana zaidi. Uwepo wako kama mzazi katika...

Wazazi washauriwa kuangazia majukumu yao

Na LAWRENCE ONGARO WAZAZI wanapitia changamoto tele katika maswala ya malezi na kwa hivyo ni vyema kupata mawaidha ya kila mara ili...

Usalama wa watoto ni muhimu kuliko ufunguzi wa shule – Wazazi

Na SAMMY WAWERU Huku hali ya sintofahamu kuhusu ufunguzi wa shule hivi karibuni ikishuhudiwa, wazazi wameridhia kauli ya Rais Uhuru...

Magoha ashauri wazazi warudishiwe karo

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha, ameshauri wasimamizi wa shule kurudishia wazazi karo endapo walikuwa wamelipia...

Wazazi washauriwa wasiwe wakifarakana mbele ya watoto wao

Na MISHI GONGO MAAFISA katika idara za watoto mjini Mombasa wamewataka wazazi kutogombana mbele ya watoto wao, wakisema hali hii...

Aapa kuwashtaki wazazi wake kwa kumzaa bila idhini

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMUME kutoka India amesema kuwa anapanga kuwashtaki wazazi wake kwa kumzaa bila idhini yake. Raphael...

Ruto afuta ziara ya harambee katika shule ambako wazazi wanapunjwa

Na NDUNGU GACHANE NAIBU Rais William Ruto, amefutilia mbali ziara ya Shule ya Upili ya Murang’a ambapo alitarajiwa kuongoza mchango...

Wazazi: Vitabu hivi vinawapotosha wanafunzi, viondolewe

Na VALENTINE OBARA WAZAZI Jumanne waliungana na walimu wa shule za sekondari kushinikiza kuondolewa kwa vitabu vipya vya Kidato cha...

Mwanafunzi awaua wazazi wake chuoni na kutoroka

Na MASHIRIKA MICHIGAN, AMERIKA MWANAFUNZI mmoja wa chuo kikuu Jumamosi aliwaua kwa kuwapiga risasi wazazi wake chuoni mwake katika...

Wakuu wa shule wataka ruhusa watoze wazazi ada ya kujenga madarasa

JOSEPH WANGUI na WANDERI KAMAU WAKUU wa shule za upili katika eneo la Kati wamemwomba Waziri wa Elimu Bi Amina Mohamed kuwaruhusu...