Polo aambia kanisa babake ni tapeli

SOY, UASIN GISHU JOMBI wa hapa aliwashangaza waumini wa kanisa kwa kuwaambia kwamba baba yake alikuwa pasta tapeli. Jamaa aliwaarifu...

Mama akaanga vipusa kuhusu gumzo chafu

Na WAANDISHI WETU Huu hapa mkusanyiko wa visa na visanga vya kukuvunja mbavu:   Mama akaanga vipusa kuhusu gumzo...

Ajificha chooni kuhepa mademu

Na DENNIS SINYO KHWISERO, KAKAMEGA JOMBI mmoja alilazimika kujificha chooni baada ya mademu wawili kumsaka wakitaka hela za...

Changudoa atimuliwa kwa kuanika chupi hadharani kuteka waume

Na CHARLES ONGADI Mtwapa, Kilifi AKINA mama waliojawa na hasira za mkizi walimtimua changudoa mpangaji mwenzao kwa tabia ya kuanika...

Vipusa walimana kanisani wakizozania polo

Na TOBBIE WEKESA Kibabii, Bungoma Waumini wa kanisa moja la hapa walibahatika kutazama sinema ya bure mrembo mmoja alipomuangushia...

Yambidi atoroke ukweli wa mimba usijulikane

Na TOBBIE WEKESA Mathare, Nairobi Kipusa aliyekuwa akiishi katika ploti moja mtaani hapa aliwashangaza marafiki zake alipofunganya...

Vilio vya demu vyakosa kuzima harusi kanisani

Na SAMMY WAWERU Kangaita, Kirinyaga Hafla moja ya harusi kijijini hapa ilisitishwa kwa muda ili kutuliza msichana aliyeangua kilio...

Apoteza demu kwa kimya cha siku mbili

Na Leah Makena Kirigara, Chogoria JAMAA wa hapa alilazimika kurudi mawindoni baada ya kutemwa na mpenzi wake alipokosa kumvutia waya...

Vita lojing’i baada ya polo kukataa kulipia asali aliyochovya

Na Leah Makena Giaki, Meru SINEMA ya bure ilishuhudiwa kwenye lojing’i moja eneo hili pale jombi na kimwana walipochapana jamaa...

Mama mkwe amnyima jombi kiti eti ana kiburi

Na TOBBIE WEKESA Luanda, Vihiga KIOJA kilizuka hapa baada ya mama mkwe kuamrisha mume wa binti yake asipewe kiti cha kukalia. Hii ni...

Polo atimuliwa na mahari yake ya kuku

Na LEAH MAKENA Irunduni, Tharaka POLO wa hapa nusura achapwe na mashemeji alipowapelekea kuku wawili kama mahari siku chache baada ya...

Polo akataa kuketi baada ya kutahiriwa

Na SAMMY WAWERU Eworet, Bomet KIJANA mmoja aliyepashwa tohara katika kijiji hiki alikataa kuketi chini akitaka babake mzazi kutimiza...