Covid: WHO yaelezea hofu ya virusi vipya vya Delta

Na MASHIRIKA BEIJING, China ONGEZEKO la visa vya maambukizi ya virusi vipya vya corona aina ya Delta limezilazimu China na Australia...

‘WHO haitaishinikiza Uchina kufichua chanzo cha corona’

NA MASHIRIKA SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema haliwezi kuilazimisha Uchina kutoa habari zaidi kuhusu chanzo cha...

Wataalam waanza kusaka kiini cha corona jijini Wuhan

Na AFP WUHAN, China KUNDI la wataalamu 10 kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), limeanza kufanya utafiti kuhusu kiini cha virusi vya...

WHO yatoa tahadhari ya corona kuleta kisonono sugu

Na LILIAN NDILWA MADAKTARI kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni wameonya kuhusu maambukizi mapya ya ‘kisonono sugu’ kinachoaminika...

WHO yatoa msaada wa magari kuhamasisha umma kuhusu corona

Na DIANA MUTHEU SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limetoa msaada wa magari sita kwa kaunti ya Mombasa yatakayotumika kuhamasisha...

Ada za usafiri wa ndege kuongezeka kutokana na athari za Covid-19

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya usafiri ya ndege wanakadiria ada za usafiri huo huenda zikawa ghali mno huku wakipambana...

WHO yaonya huenda Afrika ikawa kitovu cha maambukizi ya Corona

JUMA NAMLOLA na MASHIRIKA SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa, bara la Afrika litaathiriwa zaidi na maambukizi ya virusi vya...

Wanawake wajidunge sindano wenyewe kuzuia mimba – WHO

Na VALENTINE OBARA WANAWAKE waliohitimisha umri wa uzazi wataweza kujidunga sindano za dawa kuzuia ujauzito iwapo pendekezo la Shirika...

Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa vifo kutokana na kansa – WHO

Na JOHN MUTUA KENYA ndiyo ina idadi kubwa zaidi ya vifo vinavyotokana na magonjwa ya saratani eneo la Afrika Mashariki, kulingana na...

Serikali yatoa tahadhari mpya kuhusu Ebola

Na WAIKWA MAINA SERIKALI imetoa tahadhari mpya kuhusu mkurupuko wa Ebola baada ya ugonjwa huo kuripotiwa katika Jamhuri ya Demokrasia ya...

Tahadhari kuhusu Ebola

Na VALENTINE OBARA SERIKALI Jumatano ilitoa tahadhari baada ya mkurupuko wa maradhi hatari ya Ebola kutokea katika Jamhuri ya Demokrasia...

TAHARIRI: Tuongeze juhudi kuangamiza TB

Na MHARIRI ULIMWENGU ulipoadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani Jumamosi, jambo moja lililojitokeza wazi ni kwamba Wakenya 29,000...