Mpango wa Willian kujiunga na Inter Miami watibuka baada ya kiungo huyo wa Arsenal kudai mshahara mkubwa ajabu

Na MASHIRIKA INTER Miami wamekatiza mchakato wa kumsajili kiungo wa Arsenal na timu ya taifa ya Brazil, Willian Borges, 32. Kwa...

Arsenal kumwachilia Willian ayoyomee Inter Miami inayomilikiwa na Beckham nchini Amerika mwisho wa msimu huu

Na MASHIRIKA KIUNGO Willian Borges amefichua mipango ya kuagana na Arsenal mwishoni mwa msimu huu na kutua kambini mwa Inter Miami...

Willian sasa mali rasmi ya Arsenal

Na CHRIS ADUNGO ARSENAL wamekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa Chelsea, Willian Borges da Silva, 32, kwa mkataba wa miaka...

Willian athibitisha kuagana rasmi na Chelsea

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO mvamizi mzawa wa Brazil, Willian Borges da Silva, 32, amethibitisha kuondoka kambini mwa Chelsea baada ya...