Wiper kumtia adabu Muthama kupitia mke waliyeachana

Na PIUS MAUNDU CHAMA cha Wiper kimepanga kumsimamisha mwanasiasa mwanasiasa Agnes Kavindu, aliyekuwa mke wa Seneta wa zamani wa...

Wiper yavunja mkataba na Nasa, yaingia Jubilee rasmi

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha Wiper kinachoongozwa na Bw Kalonzo Musyoka, kimeamua kuunda muungano rasmi na Chama cha Jubilee. Hatua...

Serikali ya nusu mkate yaiva

Na SAMWEL OWINO VYAMA vilivyotia saini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Jubilee vimeanza kung'ang'ania usimamizi wa kamati kadhaa za...

Jubilee yameza Wiper na CCM

LEONARD ONYANGO na VALENTINE OBARA UUNDAJI wa Serikali ya mseto chini ya Rais Uhuru Kenyatta sasa unakaribia kukamilika baada ya chama...

Wiper yalambishwa sakafu huku ODM, Jubilee ziking’aa

Na KITAVI MUTUA, CHARLES LWANGA na CHARLES WASONGA UMAARUFU wa Chama cha Wiper eneo la Ukambani ulitikiswa kiliposhindwa kwenye uchaguzi...

Wiper kutangaza mwenyekiti mpya mwishoni mwa Julai

Na CECIL ODONGO CHAMA cha Wiper kimetangaza kwamba kitatangaza mwenyekiti mpya mwishoni mwa mwezi huu wa Julai kurithi nafasi hiyo...

Wiper yaanza mbinu za kumwadhibu Kibwana

Na PIUS MAUNDU KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, amevunja ushirikiano wa chama chake na kile cha Muungano katika hatua ya...

KINAYA: ‘Wiper’ ajue ufalme si moto wa sigara kupeanwa, siasa ni weledi wa kamari

Na DOUGLAS MUTUA WAKAMBODIA bado wana hasira! Tena nyingi tu. Za nini lakini? Sina hakika, ila juzi wengi wamenitimua kutoka vikundi...

MAKALA MAALUM: Wiper yaanza kusaka kura za 2022 mapema

Na KITAVI MUTUA CHAMA cha Wiper kimeanza mikakati ya kuwarai vijana kutoka sehemu mbalimbali nchini kujiunga nacho kwenye harakati za...

JAMVI: Wazika tofauti zao kisiasa, masaibu ya Mutua yaanza nyota yake ikiangamizwa!

Na WYCLIFFE MUIA KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka na Gavana wa Kitui Charity Ngilu wamezika tofauti zao za kisiasa katika...

Sitakubali tena kuwa mgombea mwenza – Kalonzo

Na KITAVI MUTUA KIONGOZI wa Wiper Jumatatu alitangaza hatakubali tena kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi wa urais na kusisitiza...

Kalonzo aandaliwa kuwarithi Uhuru na Raila

Na PIUS MAUNDU BAADA ya mkondo wa kisiasa kuonekana kubadilika katika Muungano wa NASA, Wiper imeanzisha mikakati ya kuhakikisha kinara...