Oparanya aikashifu Jubilee kuhusu kufeli kwa nguzo zake za utawala

Na SHABAN MAKOKHA GAVANA wa Kakamega, Wycliffe Oparanya amekashifu utawala wa Jubilee kutokana na kuporomoka kwa utekelezaji wa Nguzo...

Oparanya apanga kuachia serikali kuu ujenzi wa hospitali ya rufaa

Na BENSON AMADALA SERIKALI ya Kaunti ya Kakamega inapanga kukabidhi Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kakamega kwa serikali kuu, ili...

ODM Magharibi wataka tiketi ya Raila-Oparanya

Na SHABAN MAKOKHA KINARA wa ODM Raila Odinga anakabiliwa na kibarua kigumu cha kumteua mgombeaji mwenza wake huku wandani wake kutoka...

Majemedari wa Raila sasa waanza kumnadi Magharibi

Na SHABAN MAKOKHA WANDANI wa Kinara wa ODM Raila Odinga wameanza kampeni kali ya kumuuza Magharibi mwa nchi na wikendi iliyopita walitua...

Ombi Oparanya, Joho waachie Raila urais 2022

Na IAN BYRON KUNDI la wabunge wa ODM limemtaka Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya na mwenzake wa Mombasa Hassan Joho kuunga mkono...

Raila apewa ujumbe wa Ruto

Na JUSTUS WANGA GAVANA wa Kakamega, Wycliffe Oparanya, jana alikutana na Kinara wa ODM Raila Odinga na kumpasha ujumbe wa kikao chake na...

Musalia arai Oparanya ahamie upande wake

Na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi, amemrai Gavana wa Kakamega, Bw Wycliffe...

Presha kwa Raila akae kando 2022 aachie wengine

SHABAN MAKOKHA na MWANGI MUIRURI SHINIKIZO zimezidi kutolewa na viongozi wa chama cha ODM zikimtaka kiongozi wa chama hicho, Bw Raila...

Oparanya asema atamuunga naibu wake kumrithi 2022

Na Shaban Makokha GAVANA Wycliffe Oparanya wa Kakamega ametangaza kwamba atamuunga mkono naibu wake, Prof Philip Kutima, kurithi kiti...

Ubunge kuokoa vigogo kisiasa

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA ambao wanahudumu kwa muhula wa pili, na wa mwisho, watalazimika kuwania nyadhifa za ubunge katika uchaguzi...

Magavana wakumbatia Mpango wa Afya Kwa Wote

Na WINNIE ATIENO MAGAVANA wamekubali kutekeleza Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) baada ya Rais Uhuru Kenyatta kukubali mapendekezo...