KINYUA BIN KING’ORI: Uchaguzi wa Zambia uwe kielelezo kwa mataifa ya Afrika

Na KINYUA BIN KING'ORI Historia mpya imeandikishwa katika buku la demokrasia nchini Zambia na barani Afrika kwa jumla Kufuatia ushindi...

Lungu adai kura ya urais ilijaa dosari mpinzani akiongoza

Na Mashirika RAIS wa Zambia, Edgar Lungu, amedai kuwa uchaguzi wa urais nchini humo ulikumbwa na dosari chungu nzima. Alitoa madai...

Raia wa Zambia kumjua mshindi wa urais wikendi hii

Na AFP LUSAKA, Zambia RAIA wa Zambia, Alhamisi walipiga kura kumchagua Rais mpya, wabunge na madiwani, katika uchaguzi ambao...

Wabunge wa Zambia wazuru Kenya kufunzwa mbinu za kuzima ufisadi

Na CECIL ODONGO KUNDI la wabunge wa Zambia linadaiwa kuwasili humu nchini kupata mafunzo maalum kuhusu njia faafu za vita dhidi ya...

Starlets kumenyana na Zambia mechi ya kirafiki

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Kenya, Harambee Starlets, itafunga safari ya kuelekea jijini Lusaka mnamo Alhamisi...

Zambia kuwasukuma jela watakaonaswa wakiwa na ‘Samantha’

NA AFP LUSAKA, ZAMBIA SERIKALI imeanzisha msako mkali dhidi ya madoli ya mahaba na kuonya kuwa watakaopatikana nayo wataadhibiwa kwa...

Starlets kutoana jasho na She-polopolo ya Zambia

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Kenya itajipima nguvu dhidi ya Zambia hapo Machi 25, 2018. Shirikisho la Soka la...