TAHARIRI: Wabunge warudishe mamilioni waliyomumunya Amerika

NA MHARIRI KAMA alivyosema gavana wa Machakos, Dkt Alfred Mutua, wabunge hawana budi kushinikizwa kurejesha fedha za umma walizotumia...

‘Ziara ya Rais Kenyatta eneo la Mlima Kenya italenga kuzima shaka kuhusu uwezo wake’

Na MWANGI MUIRURI RAIS Uhuru Kenyatta ana kila sababu ya kuchukua tahadhari kuhusu hali ambapo ngome yake ya ufuasi katika eneo la Mlima...

Maswali yaibuka kuhusu kimya cha ziara za rais

Na WANDERI KAMAU HUENDA ghadhabu za Wakenya kuhusu hali ya nchi ndiyo sababu kuu ambayo imepelekea ziara za nje za Rais Uhuru Kenyatta...

ZIARA: Mkataba wa kibiashara baina ya Trump na Uhuru

NA PETER MBURU RAIS Uhuru Kenyatta na Donald Trump wa Marekani Jumatatu walifanya mazungumzo ya kina kuhusu mbinu za kuimarisha biashara,...

Rais Kenyatta aelekea Amerika kukutana na Trump

NA PSCU RAIS Uhuru Kenyatta ameondoka nchini kwa ziara rasmi jijini Washington DC, Amerika, ambapo anatazamamiwa kukutana na Rais...

Spika aitisha ripoti ya wabunge waliozuru Urusi kutazama Kombe la Dunia

Na DAVID MWERE SPIKA wa bunge la taifa, Bw Justin Muturi, amewataka wabunge waliotumia pesa za umma kwenda Urusi kutazama Kombe la Dunia...

Ziara ya ghafla ya Rais Kenyatta kaunti ya Lamu

NA KALUME KAZUNGU RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano alifanya ziara ya ghafla kaunti ya Lamu ambapo alikagua miradi mbalimbali inayoendelezwa...

Ziara za Ruto si tisho kwa ODM – Raila

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Chama cha ODM, Raila Odinga, amesema hatishwi na jinsi Naibu Rais William Ruto anavyoonekana kupenya...

Wabunge wa Zambia wazuru Kenya kufunzwa mbinu za kuzima ufisadi

Na CECIL ODONGO KUNDI la wabunge wa Zambia linadaiwa kuwasili humu nchini kupata mafunzo maalum kuhusu njia faafu za vita dhidi ya...

Joho yu wapi? Kwa mwezi mzima ‘Sultan’ hasikiki

Na WAANDISHI WETU MASWALI yanaendelea kuulizwa kuhusu aliko Gavana wa Mombasa, Hassan Joho baada ya kukosekana kuonekana katika kaunti...

Trump atarajiwa kuzuru Kenya

Na PRAVINDOH NJUGUNATH RAIS wa Amerika Donald Trump anatarajiwa kuzuru Kenya wiki ijayo katika ziara yake ya kwanza barani...