Zidane atupilia mbali madai kwamba atajiengua kambini mwa Real Madrid mwisho wa msimu huu

Na MASHIRIKA KOCHA Zinedine Zidane amekana madai kwamba amewaambia wanasoka wake wa Real Madrid kwamba ataagana na kikosi hicho mwishoni...

Betis wadidimiza matumaini ya Real Madrid kuhifadhi ufalme wa La Liga msimu huu

Na MASHIRIKA MATUMAINI ya Real Madrid kuhifadhi ubingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) msimu huu yalididimizwa na Real Betis mnamo...

Real Madrid wapiga Getafe na kukaribia Atletico kileleni mwa jedwali la La Liga

Na MASHIRIKA REAL Madrid walipaa hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa jedwali la Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) na kupunguza pengo la...

Real Madrid watandika Celta Vigo ugani Bernabeu na kurejea kileleni mwa jedwali la La Liga

Na MASHIRIKA REAL Madrid walirejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) mnamo Jumamosi usiku baada ya kuwatandika...

Zidane asema hatajiuzulu licha ya Real Madrid kupigwa tena na Shakhtar Donetsk kwenye UEFA

Na MASHIRIKA KOCHA Zinedine Zidane wa Real Madrid amesema kwamba “hatajiuzulu” licha ya kikosi chake kupokezwa kichapo cha 2-0...

Zidane asema anastahili lawama kwa kichapo cha 3-2 ambacho Real Madrid walipokezwa na Shakhtar Donetsk katika UEFA

Na MASHIRIKA KOCHA Zinedine Zidane amesema kwamba ndiye anayestahili kulaumiwa kwa kichapo cha 3-2 ambacho kikosi chake cha Real Madrid...