AC Milan wapoteza fursa ya kutua kileleni mwa jedwali la Serie A

Na MASHIRIKA AC Milan walipoteza fursa ya kutua kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Italia (Serie A) baada ya utepetevu wao kuruhusu...

Jeraha la goti kumnyima kigogo Zlatan Ibrahimovic uhondo wa kipute cha Euro

Na MASHIRIKA NYOTA Zlatan Ibrahimovic hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachowakilisha Uswidi kwenye fainali za Euro mwaka huu 2021 kwa...

Kigogo Ibrahimovic sasa kuchezea AC Milan hadi atakapotimu umri wa miaka 40 baada ya kutia saini mkataba mpya

Na MASHIRIKA FOWADI Zlatan Ibrahimovic,39, ametia saini mkataba mpya wa mwaka mmoja na kikosi cha AC Milan kinachoshiriki Ligi Kuu ya...

Ibrahimovic atambisha Uswidi katika mechi ya kwanza tangu abatilishe maamuzi ya kustaafu soka ya kimataifa

Na MASHIRIKA ZLATAN Ibrahimovic alichangia bao katika ushindi wa 1-0 uliosajiliwa na Uswidi dhidi ya Georgia katika mchuano wa kufuzu...

Kocha Pioli imani tele kwamba Zlatan Ibrahimovic atarefusha mkataba wake AC Milan

Na MASHIRIKA KOCHA Stefano Pioli wa AC Milan sasa amemtaka mshambuliaji mkongwe raia wa Uswidi, Zlatan Ibrahimovic kurefusha mkataba...

Ibrahimovic afikisha mabao 500 na kuongoza AC Milan kurejea kileleni mwa jedwali la Serie A

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI Zlatan Ibrahimovic, 39, alipita idadi ya mabao 500 ambayo ameyafunga kwenye soka ya ngazi ya klabu baada ya...

AC Milan wapepeta Bologna katika Serie A licha ya Zlatan Ibrahimovic kupoteza penalti

Na MASHIRIKA ZLATAN Ibrahimovic alipoteza mkwaju wa penalti katika mchuano wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A) iliyoshuhudia waajiri wake AC...

Sina nia ya kustaafu soka hivi karibuni – Zlatan Ibrahimovic

Na MASHIRIKA NYOTA Zlatan Ibrahimovic, 39, amesema hayuko tayari kuondoka kwenye ulingo wa soka hivi karibuni kwa kuwa angali na kiu ya...

Ibrahimovic afunga mawili na kusaidia AC Milan kuzamisha chombo cha Napoli katika Serie A

Na MASHIRIKA ZLATAN Ibrahimovic aliendeleza ubabe wake katika ulingo wa soka kwa kufunga mabao mawili yaliyosaidia waajiri wake AC Milan...

Ibrahimovic afunga bao kuisaidia AC Milan kuwapepeta Lazio 3-0

Na CHRIS ADUNGO MSHAMBULIAJI mkongwe Zlatan Ibrahimovic alifunga bao na kusaidia AC Milan kuwapepeta Lazio 3-0 katika Ligi Kuu ya Italia...

Pigo kwa AC Milan mkongwe Zlatan Ibrahimovic akipata jeraha

Na CHRIS ADUNGO HUENDA taaluma ya usogora wa mshambuliaji mkongwe Zlatan Ibrahimovic imefikia mwisho baada ya kikosi cha AC Milan...