Galleries

Margaret Njeri 22, ni mkazi wa eneo la Lanet, Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanamitindo na mwanahabari chipukizi. Uraibu wake ni kusafiri na...

Everlyn Mugo 22, ni mkazi wa eneo la Umoja Lanet, Nakuru na amepiga hatua katika tasnia ya uanamitindo .Uraibu wake ni kusikiliza muziki wa...

Njehia  Waringa 22, ni mkazi wa eneo la Freehold kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Cha JKUAT Nairobi. Uraibu wake ni kusoma...

Angie Koech mwenye umri wa miaka 24, ndiye anatupambia wavuti wetu. Yeye ni mkazi wa Kaunti ya Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kutazama...

Diana Arao 24, ni mwanafunzi wa fasheni katika taasisi moja mjini Nakuru.Yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni.Uraibu wake ni kuchora,...

Venessa Wambui 21, ni mwanafunzi wa masuala ya kiuchumi katika College of Accountancy jijini Nairobi.Uraibu wake ni kusafiri nakusoma...

Mercy Kangogo 22, ni mwalimu kutoka eneo la Kabarnet. Anapenda kufundisha na kufanya utafiti katika maswala ya urembo. Picha/Richard Maosi

Melanie Ann 20, ni mwanafunzi wa uanahabari katika chuo kimoja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kusakata densi na kusakata kabumbu....

Lucy Miru 30, ni mkazi wa mtaa wa Freearea kaunti ya Nakuru, yeye ni mwongozaji wa vipindi katika vyombo vya habari.Uraibu wake ni kusoma...