Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Ananisinya kubeba nguo zangu bila idhini

Na SHANGAZI November 27th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Shikamoo shangazi. Rafiki yangu anachukua nguo zangu bila ruhusa. Kila akija kunitembelea, anajinyakulia nguo zangu. Nifanyeje?

Jibu: Acha kulia kwani nguo si urithi. Lakini kama rafiki hana adabu ya kuomba, hiyo si urafiki.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO