Uncategorized
SHANGAZI AKUJIBU: Kuna dai mume alikuwa na mke mwingine, nina hofu anaweza kurudi
Wanandoa waliofunga harusi. Picha|Maktaba
SWALI: Huu ni mwezi wa tatu tangu niolewe. Nimepata habari kwamba mume wangu alikuwa ameoa na wakaachana na mkewe. Hajawahi kuniambia na nahofia mke wake huyo anaweza kurudi. Nishauri.
Jibu: Unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi, ni vizuri kuchunguza maisha ya mpenzi wako kumfahamu vyema kabla hujampa maisha yako. Ni muhimu akuhakikishie kuwa wameachana kabisa ili kuepuka mzozo baadaye.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO