• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 7:50 AM

Raila azidisha kampeni za kuwania wadhifa wa AUC

NA JUSTUS OCHIENG MWONGOZO wa kampeni za Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga, kuhusu azma yake ya kuwania wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya...

Mwanamke mjamzito kati ya walionusurika mauti kimiujiza Mai Mahiu

JOSEPH OPENDA NA MERCY KOSKEI MWANAMKE mjamzito anayetarajiwa kujifungua wiki mbili zijazo ni kati ya waliookolewa kwenye mafuriko...

Ruto aamuru jeshi lisaidie kusaka miili na kusaidia wahanga Mai Mahiu

NA MERCY KOSKEI RAIS William Ruto Jumanne alitembelea eneo la mkasa Maai Maahiu na kuamuru wanajeshi waungane na kikosi cha kuisaka miili...

Korti yapiga marufuku uchochezi na ushambuliaji wa wapenzi wa jinsia moja

NA PHILIP MUYANGA MAHAKAMA imepiga marufuku makundi ya watu wanaopinga ushoga na kueneza uchochezi dhidi ya wapenzi wa jinsia moja...

Monda apata pigo lingine kortini katika juhudi za kukwamilia unaibu gavana

NA RUTH MBULA NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kisii aliyefurushwa, Dkt Robert Monda, amepata pigo lingine baada ya Mahakama Kuu ya Nyamira...

Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa Sh2 milioni kusaidia waathiriwa wa mafuriko

NA LABAAN SHABAAN ALIYEKUWA Rais Uhuru Kenyatta ametoa mchango wa kibinafsi wa Sh2 milioni kwa waathiriwa wa mafuriko nchini. Fedha hizo...

Wa Iria akana shtaka la ufisadi wa Sh351m

NA RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA gavana wa Murang'a Mwangi Wa Iria ameshtakiwa kuhusu ufisadi wa Sh351 milioni, shtaka ambalo...

Korti kuamua iwapo itaruhusu mtoto afuate babake Amerika au asalie Kenya na nyanyake

SAM KIPLAGAT NA LABAAN SHABAAN HATIMA ya uhamisho wa mtoto kutoka Kenya na kwenda Amerika iko mikononi mwa jaji Jumanne, Aprili 30,...

Mkuu wa Bomas afunguliwa mashtaka

Na RICHARD MUNGUTI AFISA Mkuu Mtendaji wa Bomas of Kenya (BoK) ameshtakiwa kwa kununua vijiko, vikombe na vifaa vya jikoni bila...

Idadi ya wanaokopesha pesa serikali yaongezeka

NA SIAGO CECE IDADI ya Wakenya wanaokopesha serikali pesa imeongezeka licha ya hali ngumu ya kiuchumi. Wengi wanatumia njia hiyo kama...

Matumaini kwa raia maskini EU ikitoa Sh800m kuwasaidia katika utafutaji haki mahakamani

NA TITUS OMINDE WAKENYA maskini wanaotafuta huduma za kisheria wamefaidika na ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wa Sh850m. EU ilitumia...

Maelfu hatarini kupoteza ardhi Portland kwa kukosa kuhalalisha umiliki

NA STANLEY NGOTHO MAMIA ya maskwota wanaoishi katika Kampuni ya East African Portland (EAPCC) katika Kaunti Ndogo ya Mavoko iliyoko...