Edith Usaji, 23, ndiye anatupambia tovuti yetu. Bi Usaji ni mjasiriamali jijini Nairobi. Uraibu wake ni kuogelea, kusakata densi na kusafiri. PICHA|RICHARD MAOSI