Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU:Sijui kupika, nashuku mpenzi wangu atanitema
Picha ya mtu akipika. Picha|Hisani
SWALI: Vipi shangazi. Kila nikienda kumtembelea mpenzi wangu, ananilazimisha nimpikie ila mimi sijui kupika. Ninahofia sana ataniacha. Nipe ushauri.
Jibu: Mtu hujifunza kupika, kwa hivyo usitie shaka. Mweleze ukweli wa mambo na uanze kujifunza polepole.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO