Monday, June 24th, 2019
Mary Nyawira ni mwanafunzi wa taaluma ya mapambo kutoka Vera Beauty College mjini Nakuru. Yeye ni mshonaji wa mavazi ya kisasa na mfanyabiashara. Uraibu wake ni kuimba na kupika. Picha/Richard Maosi
Mpate kwenye mitandao ya kijamii