Hospitali nne kusimamiwa na polisi Nairobi
NA FAUSTINE NGILA
Hospitali nne jijini Nairobi ambazo zinaendeshwa na Kaunti ya Nairobi sasa zitaendeshwa na maafisa kutoka huduma ya kitaifa ya polisi ili kuzuia kutatizwa kwa huduma za matibabu.
Idara ya Huduma za jiji la Nairobi (NMS) ilistangaza Jumamosi baada ya kufanya mabadiliko kadhaa kwenye hospitali ya kujifungua Pumwani kufuatia kisa ambapo mwanamke alijifungua nje ya lango kuu la hospitali hiyo Septemba 13.
Kwenye taarifa aliyoitoa mkurugenzi wa afya wa NMS Dkt Josephine Kibaru Mbae,alienza kwamba mwanamke huyo alikatazwa kuingia hospitalini humo.
Dkt Kibaru-Mbae alisema kwamba tukio hilo lilitokea siku mbili baada ya wauguzi kuanza mgomo lakini akaongeza kwamba huduma muhimu zilikuwa zinapeanwa..
“sitikihBawabu aliyekuwa akilinda lango alikataza mwanamke huyo kuingia ndani ya hospitali kisa ambacho kilikuwa cha kusitikishalakini kuna muunguzi alipashwa Habari,”alisema akiongeza kwamba [lakini ]maafisa wa afya walikimbia kwenye aneo ya tukio na kusaindia mama huyo kujingua na kulazwa kwa mgonjwa.