Wakazi wa Thika kunufaika pakubwa ukarabati wa barabara ya kilomita 20 ukiendelea

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Thika na vitongoji vyake, watanufaika na ukarabati wa barabara ya kilomita 20 chini ya mpango uliofadhiliwa...

3 walazwa hospitalini Marsabit baada ya kushambuliwa

Na JACOB WALTER WATU watatu wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Marsabit wakiwa na majeraha ya risasi baada ya kushambuliwa nyumbani...

Afueni kwa wakimbizi

Na CHARLES WASONGA WAKIMBIZI sasa wamepata afueni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada unaowapa uhuru wa kuendelea kuishi...

Kaburi la Mekatilili sasa kugeuzwa ‘chuo’ cha utamaduni

Na MAUREEN ONGALA WAZEE wa Kaya wameanzisha mikakati ya kuhifadhi kaburi la shujaa wa jamii ya Mijikenda, Mekatilili wa Menza, lililo...

Gavana ataka haki kwa mashindano ya utamaduni

Na KNA GAVANA kwale, Bw Salim Mvurya, ametaka kamati itakayochagua kikundi cha kuwakilisha kaunti hiyo kwenye mashindano ya kitaifa ya...

Rais afariji Tuju kwa kumpoteza mamake

MARY WANGARI na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta jana aliifariji familia ya Katibu Mkuu wa Chama cha Jubilee, Waziri Raphael Tuju, kufuatia kifo...

Mkuu wa DCI ahukumiwa miezi minne jela

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) George Kinoti, Alhamisi alihukumiwa kifungo cha miezi minne gerezani...

Vituo vya pombe vyaongeza uzembe Juja

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Witeithie, Juja, Kaunti ya Kiambu, wanalalamika kuhusu ongezeko la vituo vya kuuza pombe kali ya...

Pigo kwa ‘mpango wa kando’ Uhuru akisaini sheria kuhusu urithi

Na CHARLES WASONGA NI pigo kwa wapenzi wa pembeni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada unaowazima kudai mgao wa urithi wa...

MKU yaendesha kongamano la kibiashara

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU), na kituo cha YUNUS Centre, zimefanya kongamano la kumi la pamoja la Social Business...

Kaluma afurahia kutiwa saini kwa mswada wa kuzima ‘mpango wa kando’ katika urithi

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Homa Bay Mjini Peter Kaluma Jumatano alijawa na furaha baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada wa...

Kiraitu akerwa na matamshi ya Ruto

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Meru Kiraitu sasa amejibu Naibu Rais William Ruto ambaye alimshutumu juzi kwa madai kuwa anaunga mkono...