• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 1:29 PM

DINI: Aghalabu matatizo ni ishara ya uhai

NA PADRE FAUSTINE KAMUGISHA MTOTO akiwa analia anahitaji kubembelezwa. Sio kila wimbo unaweza kumbembeleza mtoto. Wimbo mzuri ndio...

DINI: Mstari kati ya wema na ubaya ni mwembamba

NA PADRE FAUSTINE KAMUGISHA WEMA na ubaya vipo kila mahali. Ubaya utashinda kama watu wema hawafanyi chochote kizuri. “Ubaya hauna...

DINI: Tusemezane kwani hakuna yasiyotatulika

NA PADRE FAUSTINE KAMUGISHA LISEME, usikae nalo. Hakuna yasiyotatulika. Hakuna yasiyo na suluhisho. Elewa upande wa...

DINI: Ukianguka, okota kitu; okota funzo muhimu

NA PADRE FAUSTINE KAMUGISHA KUSHINDWA sio neno la mwisho. Walt Disney (1901 – 1960) mzaliwa wa Marekani alifukuzwa kwenye kampuni ya...

DINI: Siri ya kufungua milango iliyofungika

NA WYCLIFFE OTIENO UMEWAHI kutafuta kazi, lakini kila uendapo ni kama mlango umefungwa? Umewahi kuhitaji kitu sana, lakini ni kama...

DINI: Tufuate nyayo za Mungu aliyetupa ‘Zawadi’

Na PADRE FAUSTINE KAMUGISHA KRISMASI inapambwa na zawadi. Krismasi inapambwa na ukarimu. Demetri Martin alisema, “Nilifunga...

Wakazi wadaiwa kubadilisha dini ili kupata misaada

Na MAUREEN ONGALA BAADHI ya wakazi wa eneo la Dingiria katika eneobunge la Ganze, Kaunti ya Kilifi, wamedaiwa kubadilisha dini ili...

DINI: Katika hali zote zinazokupata kumbuka kila kitu hutendeka kwa kusudi la Mungu

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA YANAYOKUPATA unayapokeaje? Ukipata mateso ni asilimia kumi, unavyoyapokea ni asilimia tisini....

DINI: Neema itakufuata unapopanda mbegu maishani mwako na hata kwa wengine

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA UNAPOJAALIWA kuwa na vitu jua kwamba vimetokana na neema. Neema ni mtego na unapoweka vitu katika nafasi...

DINI: Furaha imo katika kumaliza kila unachopanga kufanya maishani

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA FURAHA ni hitaji la kimsingi kwa binadamu sawa na tunavyohitaji kupumua hewa safi. "Furaha ni sala, nguvu,...

DINI: Unahitaji hekima kucheza karata zako vyema maishani na usikubali hofu ikuwekee vikwazo

FAUSTIN KAMUGISHA   KULINGANA na Edward de Bono, kuwekeza ni suala la namna unavyocheza karata ulizopewa. Mwalimu aliwaeleza...

DINI: Usiogope kushindwa, hiyo ni kama giza kabla ya pambazuko

NA PADRE FAUSTIN KAMUGISHA Kinyume cha kushinda si kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya mchakato wa kushinda. Kushindwa ni mafanikio...