• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 11:34 AM

Ebola yazuka upya DRC

NA MASHIRIKA Kinshasa, DRC Nchi ya Jmahuri ya Kidemokrasia ya Congo ilitangaza kuibuka tena kwa ugonjwa wa Ebola kwa mara ya kumi na...

Ebola yasababisha kifo cha mtoto nchini Uganda

Na MASHIRIKA UGANDA imesema kuwa imethibitisha kisa cha pili cha ugonjwa hatari wa Ebola nchini humo miezi miwili na nusu baada ya visa...

Dawa aina mbili zaonyesha mafanikio makubwa kukabili Ebola

Na AFP na MARY WANGARI WANASAYANSI wamesema wanakaribia kupata tiba ya kwanza mwafaka dhidi ya virusi vya Ebola baada ya aina mbili za...

Familia yapigania mwili wa aliyekufa kwa Ebola

Na AFP KIZAAZAA kilizuka katika wilaya ya Kikuube, Uganda, pale jamaa wa mtu aliyeshukiwa kuambukizwa Ebola walijaribu kuuchukua mwili...

Mgonjwa aliyegundulika kuugua Ebola mjini Goma afariki

Na AFP GOMA, DRC MGONJWA aliyegundulika kuwa na Ebola katika kisa cha kwanza katika mji wa Mashariki mwa DRC wa Goma amefariki,...

Serikali yaimarisha ukaguzi wa Ebola mpakani

Na GERALD BWISA SERIKALI imeimarisha uchunguzi mpakani kati ya Kenya na Uganda, ambapo imetoa mafunzo kukabiliana na ugonjwa wa Ebola...

TAHARIRI: Habari kuhusu Ebola zisiwe za kuzua hofu

NA MHARIRI KUNA haja kubwa kwa maafisa katika Wizara ya Afya kuwa katika hali ya tahadhari wakati huu ambapo kumekuwa na mkurupuko wa...

Serikali yaongeza juhudi za kujikinga kutokana na Ebola

GEORGE ODIWUOR na VITALIS KIMUTAI WATU wanne waliolazwa katika hospitali ya rufaa ya Kericho kwa hofu kuwa wanaugua Ebola wataondolewa...

Ufisadi ni hatari kuliko Ebola – Wabukala

Na BENSON AMADALA MWENYEKITI wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Askofu Mkuu (mstaafu) Eliud Wabukala amewataka Wakenya...

Kaunti zipewe fedha kukabiliana na Ebola – Maseneta

Na PETER MBURU MASENETA Jumanne waliitaka Serikali Kuu kuchukua hatua za haraka kutoa pesa inazodaiwa na serikali za kaunti, ili...

Hofu ya Ebola Kenya

VITALIS KIMUTAI, CECIL ODONGO Na PETER MBURU HOFU ilienea nchini jana watu wanne walipotengwa katika Hospitali ya Kericho Referral,...

Tanzania yatoa tahadhari kuhusu Ebola

NA MASHIRIKA SERIKALI ya Tanzania Jumapili ilitoa tahadhari kuhusu maambukizi ya Ebola baada ya ugonjwa huo ambao umesababisha vifo vya...