Yaibuka wanawake wanalazimishiwa ngono ili wapate chanjo dhidi ya Ebola

NA MASHIRIKA WANAWAKE wanashurutishwa kufanya ngono katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ili wapewe dawa za kujikinga kutokana...

Uganda yaimarisha mikakati ya kukabili Ebola

Na DAILY MONITOR SERIKALI ya Uganda Ijumaa imepiga marufuku mikutano ya hadhara katika wilaya ya Kasese Magharibi mwa nchi hiyo huku...

TAHARIRI: Tuwe macho kuhusu Ebola

Na MHARIRI TAARIFA kwamba ugonjwa hatari wa Ebola unazidi kusababisha maafa nchini Uganda ni za kutamausha hasa baada ya mtu wa pili...

Taharuki Uganda baada ya Ebola kuua mtu wa pili

Na LILIAN NAMAGEMBE, MWANDISHI WA DAILY MONITOR UGONJWA hatari wa Ebola unazidi kusababisha maafa nchini Uganda baada ya mtu wa pili...

Mswizi aambukizwa Ebola Burundi

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA MWANAMUME mmoja anatibiwa kando na wagonjwa wengine katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Uppsala nchini...

Wanaobusu maiti TZ waonywa watajiambukiza Ebola

MASHIRIKA Na PETER MBURU SERIKALI ya Tanzania imetoa tahadhari kwa wananchi wake kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika nchi ya...

Serikali yatoa tahadhari mpya kuhusu Ebola

Na WAIKWA MAINA SERIKALI imetoa tahadhari mpya kuhusu mkurupuko wa Ebola baada ya ugonjwa huo kuripotiwa katika Jamhuri ya Demokrasia ya...

Tahadhari kuhusu Ebola

Na VALENTINE OBARA SERIKALI Jumatano ilitoa tahadhari baada ya mkurupuko wa maradhi hatari ya Ebola kutokea katika Jamhuri ya Demokrasia...