• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 8:55 PM

DIGRII ZA MAJUTO: Vibarua licha ya kusoma

Na BENSON MATHEKA UKOSEFU wa kazi nchini umefikia kiwango cha kutisha na kulazimu vijana wengi wanaofuzu katika vyuo vikuu kufanya kazi...

Wataalamu washutumu vyuo vikuu kwa kutoa mafunzo duni

Na BENSON MATHEKA KUONGEZEKA kwa idadi ya vijana wanaohitimu kutoka vyuo vikuu na kukosa au kushindwa kufanya kazi inayolingana na...

Shule za kibinafsi zaomba msaada

Na SAMMY WAWERU Baadhi ya wamiliki wa shule za kibinafsi nchini wameiomba serikali kuwasaidia kuafikia mahitaji yanayotakikana ili...

Dalili serikali itafungua shule mwezi Oktoba

NA FAITH NYAMAI UWEZEKANO wa shule, taasisi za elimu na vyuo vikuu kufunguliwa mwezi ujao wa Oktoba unazidi kuongezeka baada ya Waziri...

Kitabu cha kuwaelimisha watoto kuhusu corona

Na DIANA MUTHEU KUWEPO kwa janga la corona nchini kulilemaza na kupelekea kufungwa kwa sekta nyingi, mojawazo ikiwa elimu. Watoto...

Wazazi wanaopinga elimu ya kijamii waonywa

Na Maureen Ongala KAIMU Kamishna wa Kaunti ya Kilifi, Bw Josephat Mutisya, ameonya wazazi ambao hawatapeleka watoto wao kuhudhuria...

Wizara yarudia kuhalalisha vyeti vya elimu

Na WANDERI KAMAU WIZARA ya Elimu imeanza tena kuhalalisha vyeti vya masomo, baada ya kuvisimamisha tangu Machi kutokana na janga la...

‘Corona ilinisukuma kugeuza shule yangu vyumba vya kilimobiashara’

NA MWANGI MUIRURI BAADA ya kufundisha wanafunzi wa shule za msingi nchini kwa miaka 21, James Kung’u aliamua kugura kutoka ajira ya...

TAHARIRI: Pendekezo la vyuo laonyesha ubinafsi

NA MHARIRI MJADALA kuhusu kurejelea masomo kabla ya Januari mwaka huu, unaibua maswali mazito kuhusu wadau wa sekta ya...

WASONGA: Wizara itoe fedha kwa shule kulipa wafanyakazi

Na CHARLES WASONGA RAFIKI yangu ambaye ni mwalimu mkuu katika shule moja ya upili Kaunti ya Nyandarua, juzi aliniambia kuwa walinzi...

ONYANGO: Miundomsingi katika shule iboreshwe kabla ya Januari

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI imelaza damu tangu Waziri wa Elimu George Magoha alipotangaza kuwa hakutakuwa na masomo mwaka huu. Hakuna...

Saidieni shule za kibinafsi zisifilisike, Magoha awarai wazazi

WIZARA ya Elimu imewarai wazazi wenye uwezo kifedha kuwasaidia walimu wa shule za kibinafsi, ili shule hizo zisifilisike kutokana na janga...