• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 3:25 PM

KAULI YA MATUNDURA: Mgogoro wa ushairi wa Kiswahili ulivyomtia matatani mtaalamu Mugyabuso Mulokozi

Na BITUGI MATUNDURA MNAMO 2017, nilifanya utafiti kuhusu ‘mgogoro wa ushairi wa Kiswahili’ uliozuka mnamo miaka ya 1960. Mgogoro...

KAULI YA MATUNDURA: Athari ya sera ya udhibiti kwa waandishi wa fasihi ulimwenguni – Sehemu ya tano

Na BITUGI MATUNDURA HII ni awamu ya tano ya msururu wa makala yangu kuhusu athari ya sera ya udhibiti kwa waandishi wa fasihi. Mawazo...

KAULI YA MATUNDURA: Tajiriba za waandishi kuhusiana na sera ya kudhibiti fasihi ulimwenguni – 4

Na BITUGI MATUNDURA HII ni awamu ya nne ya makala kuhusu sera ya udhibiti wa maandishi kwa waandishi wa fasihi ulimwenguni. Juma...

KAULI YA MATUNDURA: Aina za udhibiti wa maandishi ya kazi za fasihi unaoathiri uandishi na waandishi

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita niliangazia suala la udhibiti wa maandishi (censorship). Hii ni sifa ya kuyadhibiti maandishi ya...

KAULI YA MATUNDURA: Ni kweli Nyerere alikuwa tapeli wa tafsiri za tungo za William Shakespeare?

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA ulimwengu wa taaluma, aghalabu huibuka mtu mmoja katika kizazi kizima ambaye mchango wake huwashangaza na...

KAULI YA MATUNDURA: Yakini, mikondo ya makuzi ya kamusi za Kiswahili Afrika Mashariki inatia moyo

Na BITUGI MATUNDURA WAKATI wowote kuanzia sasa, toleo la 3 la Kamusi ya Karne ya 21 (Longhorn Publishers ) litatoka kwenye...

KAULI YA MATUNDURA: Athari ya lugha za kigeni kwa Kiswahili na jinsi zilivyochangia kupanua leksikoni

Na BITUGI MATUNDURA MOJAWAPO ya vipengee muhimu ambavyo mwalimu na mwanafunzi wa isimujamii anahitajika kujua ni historia ya...

KAULI YA MATUNDURA: Mbinu za upanuzi wa leksikoni katika lugha ya Kiswahili na changamoto zake

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA kipindi cha majuma mawili yaliyopita, makala yangu yamejikita katika uwanja wa leksikolojia. Leksikolojia...

KAULI YA MATUNDURA: Tathmini ya ufaafu wa istilahi ‘runulishi’ kwa maana ya Smartphone – Sehemu ya 2

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA awamu ya kwanza ya makala yangu juma lililopita, niliangazia mdahalo wa wataalamu kuhusu istilahi...

KAULI YA MATUNDURA: Wataalamu wa Kiswahili wajadili ufaafu wa ‘runulishi’ kwa maana ya smartphone

Na BITUGI MATUNDURA WIKI iliyopita, mwandishi na mwanahabari Geoffrey Mung’ou alizua mjadala wa kuchangamsha kuhusu upanuzi wa...

KAULI YA MATUNDURA: Pata mwao wa mchakato wa kubuni na kusambaza istilahi mpya za Kiswahili

Na BITUGI MATUNDURA MAKALA yangu ya majuma mawili yaliyopita yaliangazia suala la istilahi ‘mzungumzishi’. Nilikwisha kuangalia...

KAULI YA MATUNDURA: Tathmini ya ufaafu wa ‘mzungumzishi’ kwa vigezo vya kinadharia ya Kiisimu

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA makala yangu juma lililopita nilidai kwamba pendekezo la istilahi ‘mzungumzishi’ iliyoubuniwa na seneta...