• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:10 PM

Misongamano mijini wananchi wakielekea mashambani kwa Krismasi

Na FRANCIS NDERITU MISONGAMANO mikubwa ya watu ilishuhudiwa jana katika vituo vya magari jijini wakazi wakielekea maeneo mbalimbali kwa...

Wakenya wakerwa na Gavana Kimemia kutumia Sh12 milioni kununua Mti wa Krismasi

NA WANGU KANURI Gavana wa Kaunti ya Nyandarua Francis Kimemia ameshangaza Wakenya kutumia Sh12 milioni kununua Mti wa Krismasi huku...

Kalembe Ndile kumpa Wambua ekari mbili za shamba wiki hii

NA WANGU KANURI Siku kadhaa baada ya Julius Wambua Musyoka kutoka jela ya Kamiti alipotumikia kifungo cha miaka kumi kwa shtaka la...

Polisi kuimarisha doria sherehe za Krismasi

Na HILARY KIMUYU POLISI wataimarisha usalama katika sehemu mbalimbali kote nchini, Wakenya wanapojitayarisha kusherehekea sikukuu za...

Wakenya wasafiri mashambani licha ya onyo la serikali

Titus Ominde na Benson Matheka VITUO vingi vya mabasi mijini vilishuhudia ongezeko la abiria wanaosafiri maeneo ya mashambani kwa...

Makanisa yazimwa kuandaa kesha ya Krismasi

Na George Odiwuor na Wycliff Kipsang Serikali imetangaza hatua kali za kuzuia msambao wa virusi vya corona msimu wa sherehe za krisimasi...

KRISMASI: Wafanyabiashara wageuka matapeli Uhuru Park

Na GEOFFREY ANENE MSEMO ‘kila soko halikosi mwendawazimu’ ulipata maana Sikukuu ya Krismasi pale wanabiashara waligeuka kuwa...

Mauzo duni Krismasi, wafanyabiashara waumia

CONSTANT MUNDA na SIAGO CECE WAFANYABIASHARA walipata pigo baada ya Wakenya kupunguza matumizi ya fedha kwa sherehe za Krismasi mwaka...

KRISMASI: Hali ilivyokuwa jijini Nairobi

Na CHARLES WASONGA WAKAZI wa Nairobi ambao hawakusafiri kwenda mashambani walifurika katika sehemu mbalimbali za kujivinjari Jumatano...

KRISMASI: Jogoo wa mijini wateka vijiji

Na VALENTINE OBARA MAELFU ya Wakenya mwaka huu wameendeleza desturi yao ya kuelekea vijijini kwa sherehe za Krismasi licha ya wengi...

KRISMASI: Bei ya nyama ya mbuzi na kuku yapanda

JOHN MUTUA na CHARLES WASONGA BEI ya mbuzi na kuku imepanda zaidi wakati huu wa Krismasi huku uchumi ukishuhudia kupungua kwa watu...

TAHARIRI: Tujitolee kutenda mema Krismasi

NA MHARIRI DESEMBA 25, mamilioni ya Wakenya wamemuika na wenzao kimataifa kusherehekea sikukuu ya Krismasi. Siku hii ni muhimu katika...