• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 8:55 PM

Watu wanne wasombwa na maji eneo la Ngoliba

Na LAWRENCE ONGARO BAADA ya wakazi wanne kusombwa na maji katika mto Athi, eneo la Ngoliba Thika Mashabiki, wakazi wanaiomba Kaunti ya...

Mvua kubwa yasababisha hasara Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO FAMILIA zaidi ya 200 katika vijiji vya Kimbo na Juja wameachwa na mahangaiko baada ya mvua kubwa kusababisha maji ya...

Lamu yaanza kufufua visima vya kale

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu imeanzisha mpango wa kufufua visima vya kale, ikiwemo vile vya miaka 100 na zaidi ili...

Thiwasco yashirikiana na kaunti kuweka vituo vya usafi Thika

Na LAWRENCE ONGARO WANANCHI mjini Thika wameanza kuzingatia hali ya usafi kwa kunawa mikono kila mara baada ya vituo vitano vya kunawa...

Lawama kwa Lapsset uhaba wa maji safi na salama Lamu

Na KALUME KAZUNGU BODI ya Kusambaza Maji, Kaunti ya Lamu (Lawasco) imenyooshea kidole cha lawama ujenzi unaoendelea wa mradi wa Bandari...

Wakazi wa Thika wapata maji kwa wingi

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Landless, Thika na maeneo ya karibu wamepata afueni baada ya kuletewa maji kwa wingi katika makazi...

Ukosefu wa maji washuhudiwa Thika

Na LAWRENCE ONGARO MAENEO mengi mjini Thika yanaendelea kukosa maji safi ya kunywa huku wakazi wakitaka kampuni ya Thiwasco Water...

Wafanyakazi 28 wa kike wahitimu na kupokezwa vyeti vya uongozi sekta ya huduma ya maji

Na PAULINE ONGAJI WAFANYAKAZI 28 wa kike wanaohudumu katika sekta ya huduma ya maji na usafi walihitimu na kupokezwa vyeti vya uongozi...

Thiwasco yaimarisha huduma ya usambazaji maji Thika

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Maji ya Thiwasco Water Company Ltd imeweka mikakati ya kuboresha huduma kwa wateja. Mkurugenzi mkuu wa...

Kampuni ya kusambaza maji Mombasa yapinga madai ya mazingira duni

Na MISHI GONGO KAMPUNI ya Usambazaji wa maji ya Mombasa (Mowasco) imepinga madai yaliyoibuliwa na baadhi ya wafanyakazi wanaolalamikia...

Wakazi wa Mokowe kunufaika na mradi wa ujenzi wa vyoo

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 5,000 wa mji wa Mokowe, Kaunti ya Lamu watanufaika na mradi uliozinduliwa wa Sh17.2 milioni wa ujenzi...

WANGARI: Kupanda miti ya kiasili kutasaidia kuhifadhi vyanzo vya maji

Na MARY WANGARI AKIZUNGUMZA majuzi katika sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya Maeneo ya Maji Ulimwenguni, Waziri wa Mazingira, Bw Keriako...