• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 6:50 AM

Maisha ya wanyama pazuri baada ya Ziwa Nakuru kusafishwa

NA RICHARD MAOSI Mbuga ya Ziwa Nakuru, sasa limesafishwa katika mojawapo ya juhudi za kukabiliana na maji taka yanayoingia...

Wakenya waruhusiwa kutalii mbuga ya Ziwa Nakuru

NA PHYLLIS MUSASIA MKURUGENZI mkuu wa shirika la Huduma za Wanyamapori Nchini (KWS) Brigedia Msataafu John Waweru Jumapili ameruhusu...

Wanyamapori wetu ni zawadi kutoka kwa Mola, tuilinde – Mama wa Taifa

PSCU na CHARLES WASONGA MAMA wa Taifa Margaret Kenyatta amekariri umuhimu wa Wakenya kuhakikisha wanalinda wanyama pori kwa manufaa ya...

Uchangamfu KWS kutangaza mbuga kwa picha ya vifaru wakijamiiana

Na PETER MBURU SHIRIKA la Huduma kwa Wanyamapori (KWS) limewachangamsha Wakenya kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuchapisha picha ya...

Maafisa wa KWS motoni kwa kuua mwanamume na kulisha mamba mwili wake

NA CHARLES WASONGA MAAFISA sita wa Shirika la Wanyamapori Nchini (KWS) wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Malindi kuhusiana na...

NAKURU: Nyani wanaopokonya walevi pombe na kuiba chakula cha wakazi

NA RICHARD MAOSI KATIKA mji wa Nakuru, mitaa imepewa majina yao kutokana na sifa zake au hali halisi ya maisha. Mojawapo ya...

Mbuga ya Maasai Mara bado namba wani Afrika

Na GEORGE SAYAGIE MBUGA ya wanyamapori ya Maasai Mara kwa mara nyingine imeorodheshwa katika nafasi ya kwanza Barani Afrika kwenye tuzo...

Profesa Hamo aongoza hamasisho la kulinda vifaru

RICHARD MAOSI NA MAGDALENE WANJA MAKALA ya 15 ya waendeshaji baiskeli katika Kaunti ya Nakuru kuhusu uhamasisho wa kulinda wanyamapori...

Kifaru mweupe wa mwisho duniani aaga kwa kuzeeka

Na PETER MBURU KENYA na ulimwengu kwa jumla Jumanne waliamkia majonzi, baada ya kifaru wa kiume aina ya Nothern White Rhino wa mwisho...