• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 3:25 PM

KAFYU: Pigo kwa wenye vilabu vya densi na makahaba

Na MISHI GONGO WAMILIKI wa vilabu vya densi na makahaba wamepata pigo baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuongeza marufuku ya kufungwa kwa...

Wito serikali ibuni sera ya kuruhusu ndege kupaa na kutua uwanja wa Moi bila vikwazo

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii wametoa wito kwa serikali ikubali sera inayoruhusu ndege kutua na kupaa katika uwanja...

‘Kusomea nyumbani si rahisi’

Na DIANA MUTHEU WANAFUNZI wengi wa vyuo vikuu wamelalamika kuwa kusomea nyumbani kuna changamoto nyingi sana. Akizungumza na Taifa...

Visiwa vya Mombasa na Manda huenda vikazama – Wanasayansi

Na WINNIE ATIENO WANASAYANSI wameonya huenda visiwa vya Mombasa na Manda vikazama kufuatia mabadiliko ya tabianchi. Kulingana na...

Kaunti kusambazia wakazi wa vitongojini maji

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imeanza kuweka mikakati kusambaza maji vitongojini ili kuimarisha afya za wakazi wa...

Corona yachangia uhaba wa damu katika hifadhi Mombasa

Na MISHI GONGO KUNA upungufu mkubwa wa damu katika kituo cha hifadhi ya bidhaa hiyo mjini Mombasa hali hii ikishuhudiwa tangu kuzuka kwa...

Wizara yafuatilia shughuli za ujenzi wa uwanja wa kisasa Mombasa

Na ABDULRAHMAN SHERIFF WAPENZI wa mchezo wa mpira wa miguu Mombasa na sehemu nyinginezo za mwambao wa Pwani wana matumaini uwanja wao wa...

Seneta aanza kuhamasisha wakazi Mombasa kuhusu Covid-19

Na WINNIE ATIENO SENETA wa Kaunti ya Mombasa Bw Mohamed Faki ameanzisha kampeni madhubuti ya kuhamasisha umma kujua jinsi ya kuepuka...

Serikali ya kaunti ya Mombasa yabuni mkakati wa kuipiga jeki sekta ya utalii

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI wa sekta ya utalii wamepata afueni baada ya serikali ya Mombasa kutangaza mpango mpya wa kuwanusuru dhidi ya...

Nairobi yaongoza maambukizi, Mombasa kwa vifo

Na JUMA NAMLOLA KAUNTI ya Nairobi inaongoza kwa idadi ya maambukizi ya virusi vya corona huku Mombasa ikiongoza kwa watu walioaga dunia...

Baadhi ya wakazi washutumu hatua ya serikali kuufunga Mji wa Kale

Na MISHI GONGO WAKAZI mjini Mombasa wameshutumu serikali kwa kufunga Mji wa Kale, wakiitaja hatua hiyo kuwa kandamizi na kwamba...

Gavana wa Mombasa atishia kuweka ‘lockdown’ Mji wa Kale

MISHI GONGO na WINNIE ATIENO HUKU maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 yakiendelea kuongezeka katika Mji wa Kale, Kaunti ya Mombasa, gavana...