• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Mvua kunyesha nchini Januari 15 hadi 19, yasema idara ya utabiri wa hali ya hewa

Na CHARLES WASONGA IDARA ya utabiri wa hali ya hewa nchini Kenya imetangaza kuwa mvua ya kadri itashuhudiwa maeneo mbalimbali kati ya...

BENSON MATHEKA: Serikali itimize onyo la wataalamu kuhusu mvua

Na BENSON MATHEKA KWA sasa mvua inanyesha katika baadhi ya maeneo nchini. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imeonya kuwa mvua ya masika...

Serikali yaonya mvua yaja mwezi ujao kwa kishindo kikuu

NA COLLINS OMULO TAHADHARI imetolewa kuwa msimu wa mvua utakaoanza Machi utakuwa na kiwango kikubwa cha mvua kuliko kawaida. Idara...

Watumiaji mitandao ya kijamii wafurahia mvua siku ya kwanza 2021

Na SAMMY WAWERU MVUA ilishuhudiwa katika maeneo tofauti ya nchi kuanzia usiku wa kuamkia Alhamisi, Desemba 31 iliyokuwa siku ya mwisho...

Mvua kiwango kilichopitiliza kunyesha nchini, idara ya utabiri wa hali ya hewa yasema

Na DIANA MUTHEU MVUA ya kiwango kilichopitiliza inatarajiwa kunyesha sehemu nyingi nchini, idara ya utabiri wa hali ya hewa...

Onyo mvua kubwa kunyesha siku 4 zijazo

Na COLLINS OMULO IDARA ya Utabiri wa Hewa nchini imewaonya Wakenya kujitayarisha kwa mvua kubwa kwa siku nne zijazo, ambayo huenda...

Mvua yatatiza shughuli za uchukuzi mitaa kadhaa Nairobi

Na SAMMY WAWERU MVUA nyingi ilishuhudiwa Alhamisi jioni katika baadhi ya mitaa katika Kaunti ya Nairobi na kusitisha kwa muda shughuli...

Mvua itanyesha sehemu nyingi hadi Jumamosi – Utabiri

Na MERCY MWENDE KWA siku tano zijazo, maeneo mengi ya nchi yatashuhudia mvua, huku katika baadhi yao, kukiwa na ngurumo za...

Idara yatahadharisha mvua kubwa kunyesha mwezi huu

Na COLLINS OMULO WAKENYA wametakiwa kujiandaa kwa ajili ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi kuanzia...

Mvua sasa kupungua siku 7 zijazo

NA COLLINS OMULO IDARA ya utabiri wa hali ya hewa imetangaza kwamba mvua kubwa ambayo imekuwa ikishuhudiwa maeneo mengi nchini itapungua...

NDIVYO SIVYO: Mvua ikipungua huwa ‘imepusa’ na ikipitiliza huwa ‘imeshitadi’

Na ENOCK NYARIKI SEHEMU nyingi za taifa la Kenya zinaendelea kupokea mvua kwa wingi. Mvua inapokunya mfululizo usiku kucha au mchana...

Maafa ya mvua yasambaa

Na WAANDISHI WETU JANGA la mafuriko limeendelea kusababisha maafa na vilio katika maeneo ya Nyanza, Magharibi, Nairobi, Mashariki na...