• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 11:55 AM

Ripoti: Wanaume walipigwa zaidi na wanawake kipindi cha corona

Na WANDERI KAMAU WANAUME wengi walipigwa ama kutukanwa na wapenzi wao walipokuwa wakikaa nyumbani kutokana na kanuni za kukabili virusi...

MWANAMUME KAMILI: Tatizo ni baadhi yetu huwa tunaenda na mawimbi tu!

Na DKT CHARLES OBENE KILA mtu yuko mbioni kutafuta kile ambacho mwenyewe hana! Si pesa, si akili, si wanawake, si wanaume, si...

MWANAMUME KAMILI: Tusijitie hamnazo suala la uzazi

Na DKT CHARLES OBENE DUNIA haina shukrani! Ole nyinyi mnaojituma kufa kupona wenzenu kuwapa nafsi na moyo vilevile! Sikateni tamaa wala...

MWANAMUME KAMILI: Uongo umeua mapenzi, epuka!

Na DKT CHARLES OBENE KUNA baadhi ya wanaume kwa wanawake wa leo wasiojua adabu wala heshima kwa mwenza. Yaani unawapa kila kitu! Si...

MWANAMUME KAMILI: Corona katuzidishia dhiki ya majanga ya wanaume!

Na DKT CHARLES OBENE AFADHALI turejelee hali ya kawaida wanaume kuondoka majogoo na kurudi nyumbani usiku wa manane! Mwanamume mmoja...

MWANAMUME KAMILI: Kichwa kisicho akili hata kikinolewa ni kazi bure tu!

Na DKT CHARLES OBENE KILA masika na mbu wake! Ndivyo walivyosema wahenga. Haya masika ya corona yamekuja na zilizala ya...

MWANAMUME KAMILI: Mdharau mwiba, mguu huota tende, corona haitaki mzaha

Na DKT CHARLES OBENE MDHARAU mwiba mguu huota tende. Hili janga la virusi vya corona si mchezo. Waja zaidi ya kumi elfu wamekwisha...

MWANAMUME KAMILI: Mwanadada usiye na dili naye, afanya nini kwako?

Na DKT CHARLES OBENE SIMBA, kama mwanamume kamili, haondoki nyikani! Nyie mnaokwepa baada ya nakshi za mahaba ni wale wale tu...

AFYA: Hofu ya wanaume ‘mlingoti’ kukosa kusimama wima chumbani

NA BENSON MATHEKA Idadi ya watu wanaoendelea kupoteza maelfu ya pesa wakitafuta suluhu ya kupungukiwa na nguvu za kiume ikiwa ni pamoja...

MWANAMUME KAMILI: Ole wenu mnaotegemea nguvu za mikwanja kuteka vimwana!

Na DKT CHARLES OBENE NAWAHONGERA tena nawapongeza vimwana wa leo waliokwisha erevuka na kutambua kwamba mapenzi sio pesa! Mapenzi ni...

MWANAMUME KAMILI: Mume wa leo mwingi wa kero, hajui kufurahia alichojaliwa

Na DKT CHARLES OBENE WAJA wenzangu makinikeni maishani maana ujaliwapo punda, huna budi kumkama! Kweli maisha sanaa! Waliojaaliwa...

MWANAMUME KAMILI: Athari ya domo kaya kuwepo kizazi kisichojua uwajibikaji

Na DKT CHARLES OBENE TANGU udogoni, nilijua fika kwamba jamii ya Wakenya kwa jumla ni watu wanaopenda mzahamzaha mno. Tumekuza sifa...