• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

RIZIKI: Ushonaji nguo unahitaji utafiti wa kutosha kuelewa soko

Na SAMMY WAWERU SEKTA ya mitindo na muundo wa mavazi hapa nchini na pia kiwango cha kimataifa ni yenye ushindani mkubwa kutokana na...

RIZIKI: Alianza kufanya biashara baada ya kidato cha nne kutengeneza mazingira mazuri ya wadogo wake kusoma

Na FARHIYA HUSSEIN AKITUMIA Sh75,000 alizozipata kupitia shughuli mbalimbali halali kipindi akiwa nyumbani baada ya kukamilisha elimu ya...

AKILIMALI: Arejea nchini kutoka China kufunza vijana jinsi ya kushona mavazi na mapambo

NA RICHARD MAOSI [email protected] Maonyesho ya mapambo na nguo za kiasili ni kazi za mikono ,zinazohitaji ubunifu wa aina...

Hali ngumu wanayopitia baadhi ya wauzaji wa nguo

Na SAMMY WAWERU BI Peninah Wairimu anauza nguo kwa muda wa zaidi ya miaka saba sasa. Anasema aliamua kufanya biashara hii baada ya...

Agizo la Rais laletea kiwanda cha nguo Kitui sifa kubwa

Na KITAVI MUTUA AGIZO la Rais Uhuru Kenyatta kwamba sare zote za maafisa wa utawala wa serikali ziwe zikitengenezwa katika Kaunti ya...

Kiwanda cha pamba chaiomba serikali kununua bidhaa zake

Na LAWRENCE ONGARO KIWANDA cha nguo cha Thika Cloth Mills, kimeiomba serikali kuisaidia kwa kununua bidhaa zao ili kukinyanyua...

Motoni kwa ulaghai wa kununua nguo

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA alishtakiwa Jumanne kwa kupokea Sh6.7 milioni akijifanya alikuwa na uwezo wa kumsaidia mmiliki wa maduka...