• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 4:36 PM

FUNGUKA: ‘Haja yangu pesa tu!’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA mazingira haya magumu ya kiuchumi, harusi imekuwa shughuli ghali kwa wengi ambapo ni wachache walio na uwezo wa...

DAU LA MAISHA: Ni miaka saba sasa tangu akitupe kisu cha ukeketaji

Na PAULINE ONGAJI ALIPOKATA kauli kuachana na kazi ya kukeketa wasichana, bila shaka alitambua kwamba mambo hayangekuwa rahisi hasa...

AKILIMALI: Arejea nchini kutoka China kufunza vijana jinsi ya kushona mavazi na mapambo

NA RICHARD MAOSI [email protected] Maonyesho ya mapambo na nguo za kiasili ni kazi za mikono ,zinazohitaji ubunifu wa aina...

DAU LA MAISHA: Atumia taji la urembo kuboresha jamii yake

Na PAULINE ONGAJI ANATUMIA urembo wake kuboresha maisha ya watoto wanaoishi na ugonjwa wa kiakili au Tawahudi (autism) hali ambapo...

DAU LA MAISHA: ‘Heri ya kijungujiko kuliko ‘ombaomba’…’

Na PAULINE ONGAJI UNAPOTAZAMA ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Facebook, ni rahisi kudhani ni msichana wa kawaida mwenye umri...

FUNGUKA: Starehe yangu vijana barobaro

Na PAULINE ONGAJI UNAPOMTAZAMA Venice utadhani kuwa ni mwanamke wa kawaida na mwenye heshima zake. Bibi huyu ana umri wa miaka 33 na...

FUNGUKA: ‘Nawazuga kwa maneno tu!’

Na PAULINE ONGAJI KUNA madume wanaojipiga vifua kwamba wamebobea hasa katika kuwapanga au kuwapiga Kiswahili kina dada na kuwalaghai...

DAU LA MAISHA: ‘Kazi ni kazi, mradi wapata tonge la siku’

Na PAULINE ONGAJI KWA baadhi, kazi ya uendeshaji teksi haipaswi kufanywa na wanawake hasa kutokana na sababu za kiusalama. Hasa...

FUNGUKA: ‘Mume wa mtu raha sana…’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA uhusiano, sio wengi wanaopenda kulishwa sahani moja. Hasa kwa mabinti wanaosaka waume, sio wengi wanaopenda kuwa...

CHOCHEO: Ufanyeje akilisaliti penzi lenu?

Na BENSON MATHEKA SI siri kwamba wengi waliosalitiwa na wapenzi huchelea na hata kuchukia mapenzi. Hasa, huwa hawataki kuwaona...

CHOCHEO: Lo, sihadaike na nyama ya ulimi!

Na BENSON MATHEKA WANAWAKE wengi wamekuwa wakipagawishwa kimahaba na wanaume magwiji wa kusuka misitari. Wanaamini kwamba wanaume...

DAU LA MAISHA: Anawapa tabasamu kina mama na vijana

Na PAULINE ONGAJI KWA takriban miaka minane amekuwa kimbilio la wanawake na vijana walio katika hatari ya kuambukizwa maradhi ya...