• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Chama pekee si kigezo cha kiongozi bora – Jungle

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA ambao hawajajiandikisha wawe wapigakura wameshauriwa kufanya hivyo mara moja. Mbunge wa Thika Bw Patrick...

Vita vya kujipima nguvu ugavana Kiambu vyaanza

Na LAWRENCE ONGARO KITI cha ugavana Kaunti ya Kiambu kimeongeza joto la kisiasa huku viongozi kadhaa wakianza kuelezea nia...

Pendekezo wabunge wapitishe ‘matunda’ yaliyobebwa ndani ya kapu la BBI

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya mswada kuwasilishwa bungeni ili kupitisha mambo muhimu yaliyotupiliwa mbali mahakama ya rufaa,...

Wito viongozi wa Mlima Kenya wajipange wawe pamoja kisauti

Na LAWRENCE ONGARO VIONGOZI wa Mlima Kenya wamehimizwa kuwa na mwelekeo mmoja wakati huu Kenya inapoelekea kuandaa uchaguzi wa mwaka wa...

Wanavyuo kupokea ufadhili wa wa Sh4.5 milioni kutoka kwa mfuko wa NG-CDF Thika

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wa vyuo mbalimbali kutoka Thika, wamehimizwa kujiunga kwa vikundi ili wanufaike na fedha za maendeleo za...

Wafanyabiashara Thika wapokea Sh4 milioni za Uwezo Fund

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Thika wamehimizwa kuzingatia biashara ili kujiendeleza zaidi. Vikundi 32 vilinufaika na fedha za Uwezo...

Mbunge wa Thika aitaka serikali iwe chonjo chanjo ya Covid-19 ‘isitupite’

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI kupitia Wizara ya Afya inastahili kutoa msimamo wazi jinsi itakavyoagiza chanjo ya CoviD-19 kutoka nchi za...

Wakulima wa kahawa Kiambu wataka uboreshaji wa kilimo cha zao hilo

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA wa kahawa wa Kiambu, wapatao 100 walikongamana mjini Thika ili kuhamasishwa kuhusu kilimo bora cha zao...

Maafisa wa ardhi kuhamasisha wakazi wa Thika

Na LAWRENCE ONGARO ULAGHAI wa uuzaji na ununuzi wa vipande vya ardhi katika mji wa Thika umezidi huku wakazi wake wakitaka hali hiyo...

Cha maana ni matumizi mazuri ya fedha zinazopelekwa kwa kaunti – mbunge

Na LAWRENCE ONGARO FEDHA za mgao zinazotumwa kwa kaunti tofauti zinastahili kutumika kwa njia nzuri na wanaozisimamia wahakikishe...

Nyoro sasa ‘awachorea mipaka’ wabunge kutoka Kiambu siasa zikichacha

Na LAWRENCE ONGARO SIASA za Kaunti ya Kiambu zinaendelea kupamba moto huku viongozi wakizidi kurushiana cheche za maneno kuhusu hali ya...

COVID-19: Mbunge ataka ikiwezekana shule zifunguliwe Januari 2021

Na LAWRENCE ONGARO KUTOKANA na jinsi hali ilivyo ya maradhi ya Covid-19, serikali isiwe na haraka ya kufungua shule hivi karibuni,...