• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

Wanafunzi wanaoshukiwa kupanga kuchoma shule kuzuiliwa zaidi na polisi

MERCY MWENDE na GEORGE MUNENE WANAFUNZI kumi na moja wa shule za sekondari za Kagumo na Kiandu wanaoshtakiwa kwa kujaribu kuchoma shule...

Makanisa yataka adhabu ya kiboko irudishwe shuleni

Na LAWRENCE ONGARO WACHUNGAJI wa makanisa ya Kievanjelisti na Kiasili (FEI CCK), kutoka Kiambu na Nairobi, sasa wanaitaka serikali...

Polisi waonya wanafunzi wanaochoma shule kuwa watafungwa kama wahalifu wengine

Na ALEX KALAMA Kamanda wa polisi wa Kaloleni, Kaunti ya Kilifi, Bw Ezekiel Chipukoeny amewaonya wanafunzi wanaosababisha uharibifu wa...

LEONARD ONYANGO: Wakuu wa shule waliotafuna mabilioni wachukuliwe hatua

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya wizara ya Elimu kuanzisha mchakato wa ‘kurejesha’ kimya kimya mabilioni ya fedha zilizotumwa kwa...

Shule yakosa kupata wanafunzi wa kidato cha kwanza

Na BRIAN OJAMAA Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiendelea kuripoti katika shule walizoitwa, shule moja katika Kaunti ya Bungoma...

Covid-19: UN yarai mataifa kuanza kufungua shule zao

Na AFP GENEVA, Uswisi UMOJA wa Mataifa (UN) umezirai nchi ambazo bado zinaendelea kufunga shule kutokana na janga la virusi vya...

CHARLES WASONGA: Walimu wakuu wanaoendelea kutoza ada za ziada waadhibiwe

Na CHARLES WASONGA NIMEWAHI kuandika mara si moja katika safu hii kwamba ni haki ya kila mtoto nchini kupata angalau elimu ya msingi....

Mbunge aitaka serikali ijenge shule zilizozama

Na FLORAH KOECH MBUNGE wa Baringo Kusini Charles Kamuren ameitaka serikali itoe pesa za ujenzi wa shule sita mpya ambazo zilisombwa na...

Uteuzi wa Kidato cha Kwanza waahirishwa

Na DAVID MUCHUNGUH WANAFUNZI waliofanya Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) mnamo Machi mwaka huu, watalazimika kusubiri zaidi kabla ya...

MARY WANGARI: Wazazi watumie likizo kuwapa watoto malezi bora

Na MARY WANGARI SHULE nyingi zilifunguliwa jana baada ya wanafunzi kuwa nyumbani kwa likizo ya zaidi ya mwezi mmoja. Hata hivyo,...

Changamoto tele wanafunzi wakirejea shuleni

WANDERI KAMAU na FLORAH KOECH WANAFUNZI wa shule za sekondari nchini wanarejea shuleni Jumatatu kwa muhula wa tatu, huku changamoto tele...

Shule za kibinafsi zalalamikia ubaguzi

Na WANDERI KAMAU CHAMA cha Wamiliki wa Shule za Kibinafsi nchini (KPSA) kimelalamika kuwa wanafunzi katika shule hizo walibaguliwa...