Sossion aililia serikali shule zifunguliwe Mei

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (Knut) Wilson Sossion ameiomba serikali kuruhusu kufunguliwa kwa shule...

Shule za bweni zipigwe marufuku – Kuppet

GEORGE SAYAGIE na GERALD BWISA CHAMA cha kutetea Masilahi ya Walimu wa Shule za Upili na Vyuo (KUPPET) jana kiliendeleza wito wake wa...

Hofu wanafunzi hawavai maski wakiwa shuleni

Na WAANDISHI WETU WANAFUNZI wameacha kuvalia barakoa wakiwa shuleni au kuzivaa visivyo hatua ambayo inawaweka katika hatari ya...

Wazazi wa wanafunzi wanaoteketeza mabweni walipe gharama – Serikali

DAVID MUCHUNGUH na CHARLES WASONGA WAZAZI sasa watalazimika kulipia gharama ya ukarabati wa shule zilizoharibiwa na watoto wao huku...

KING’ORI: Visa vya wanafunzi kushambulia walimu lazima vidhibitiwe

NA KINYUA BIN KING'ORI WANAFUNZI wamerejea shuleni juzi tu baada ya kukaa nyumbani kwa takriban miezi tisa kutokana na janga la...

Wanafunzi 170,000 waliokosa kurejea shuleni wasakwa

Na LEONARD ONYANGO TAKRIBANI wanafunzi 170,000 hawajarejea shuleni tangu shule zilipofunguliwa wiki mbili zilizopita licha ya serikali...

WANTO WARUI: Huenda wanafunzi wengi wakakosa mitihani ya KNEC

Na WANTO WARUI Baraza la mitihani nchini (KNEC) linapanga kuwapa wanafunzi wa Gredi ya 1-3 na madarasa ya 5-7 majaribio ya kutathmini...

KING’ORI: Shule za mashinani pia zilindwe dhidi ya corona

Na KINYUA BIN KING'ORI Wiki Jana, shule za msingi na sekondari kote nchini zilifunguliwa baada ya kufungwa kwa miezi tisa na wanafunzi...

Afueni kwa shule 6 kufunguliwa baada ya miaka saba

NA KALUME KAZUNGU AFUENI imepatikana kwa zaidi ya wanafunzi 400 wa shule sita zilizoko msitu wa Boni zilizofungwa kwa miaka saba, Kaunti...

WANTO WARUI: Kuzuia wanahabari shuleni kunaficha maovu

NA WANTO WARUI Hatua ya hivi juzi ya Wizara ya Elimu kupiga marufuku vyombo vya habari shuleni huenda ikasababisha hasara zaidi kuliko...

Wamiliki wa shule zilizolemewa na makali ya Covid-19 wageuza madarasa kuwa vyumba vya biashara

Na SAMMY WAWERU MADARASA ya shule za wamiliki binafsi nchini zilizolemewa na makali ya Covid-19 kiasi kwamba zimeshindwa kuafikia...

Wanafunzi wa wazazi wasio na karo wasifukuzwe shuleni – Serikali

MWANGI MUIRURI na DIANA MUTHEU SERIKALI imetangaza kwamba itawachukulia hatua walimu ambao watafukuza watoto shuleni kwa kukosa karo au...