• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 1:13 PM

TAHARIRI: Mashauriano na maelewano yatamalaki FKF ikianza kunyoosha soka humu nchini

NA MHARIRI HAPO jana Ijumaa katibu wa Shirikisho la Soka Nchini (FKF) Barry Otieno alitoa ratiba ya msimu mpya wa ligi kuu ya KPL na...

TAHARIRI: Mauaji: kaunti zitenge bajeti za kukabili maradhi ya akili

NA MHARIRI KATIKA siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la habari kuhusu visa ambapo watu wanaangamiza jamaa au watu wa...

TAHARIRI: Si lazima serikali itimize masharti yote ya shirika la kifedha la IMF

NA MHARIRI KATIKA miaka ya hivi majuzi, Shirika la Kimataifa la Kifedha (IMF) limekuwa likitoa masharti makali ya kifedha linayotaka Kenya...

TAHARIRI: Magavana wasifiche maovu ya watangulizi wao

NA MHARIRI MAGAVANA walioingia mamlakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti, wanafaa kutendea haki wananchi kwa kusaidia kulinda mali zote...

TAHARIRI: Serikali izidi kuweka hatua kuokoa waathiriwa wa baa la njaa

NA MHARIRI HATUA ambazo serikali imechukua kukabiliana na njaa zinafaa kupongezwa. Kiongozi wa nchi, Rais William Ruto, amekuwa msitari...

TAHARIRI: Upinzani umsukume Rais Ruto kuwajibika

NA MHARIRI NCHI bila upinzani thabiti ni hatari maana serikali inaweza kufanya lolote - ikiwemo kudidimiza asasi huru kama Idara ya...

TAHARIRI: Hatua iliyopigwa na Waziri kuhusu kandanda inatia moyo ila kazi bado

NA MHARIRI WAZIRI wa Michezo Ababu Namwamba amekuwa na wiki nzima ya kwanza afisini tangu alipoapishwa kwa wadhifa huo, na kulingana na...

TAHARIRI: Sekta ya afya hakika sharti irekebishwe

NA MHARIRI NI habari za kusikitisha kuwa maelfu ya miili ya watoto waliofariki katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH)...

TAHARIRI: Mawaziri watumikie wananchi wote bila kuegemea mirengo

NA MHARIRI BAADA ya Bunge kuidhinisha mawaziri wote 24 waliopendekezwa na Rais William Ruto, sasa kilichosalia ni kuanza kutekeleza...

TAHARIRI: Rais ‘sema’ neno moja tu raia wasife njaa tukiona

NA MHARIRI YEYOTE aliyeyasoma makala maalum yaliyochapishwa katika gazeti la Daily Nation toleo la Jumatatu, haikosi alitekwa na taswira...

TAHARIRI: Mageuzi katika polisi yasiingizwe siasa

NA MHARIRI JUHUDI za kutakasa huduma ya polisi ambazo zimeanzishwa na serikali ya Rais William Ruto hazifai kuingizwa siasa. Na hata...

TAHARIRI: Mawaziri wawe mbele kutimiza ahadi za Ruto kwa Wakenya

NA MHARIRI HARAKATI ya kuwapiga msasa mawaziri wateule inapoingia siku ya tatu, jambo muhimu zaidi kwa watakaofuzu ni kuhakikisha kuwa...