• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 1:13 PM

TAHARIRI: Mawaziri wapigwe msasa bila miegemeo

NA MHARIRI RAIS William Ruto pamoja na mrengo wake wa Kenya Kwanza amekuwa katika mstari wa mbele kuhakikisha kuwa anadhibiti bunge la...

TAHARIRI: Ruto, Gachagua waache siasa, ni wakati wa kuchapa kazi

NA MHARIRI KAULI za viongozi wakuu wa serikali wanazoendelea kutamka hadharani zinatia Wakenya wasiwasi kuhusu kujitolea kwao...

TAHARIRI: Uhuru wa mahakama usifanyiwe masihara

NA MHARIRI ILI taifa litajwe kuwa miongoni mwa nchi zilizostawi kidemokrasia, kigezo cha kimsingi huwa ni kutoingiliana kwa tanzu zake...

TAHARIRI: Ushirikiano wa Kenya, Tanzania usiwe mdomo tu

NA MHARIRI HATUA ya marais wa Kenya na Tanzania kuamua kukamilisha makubaliano ya awali kati ya nchi hizi mbili, itasaidia kuharakisha...

TAHARIRI: CBC: Machogu avae viatu vya Magoha

NA MHARIRI RAIS William Ruto amemteua Ezekiel Machogu kuwa waziri mpya wa elimu, akisubiri kupigwa msasa na wabunge. Mtangulizi wake...

TAHARIRI: Tutahadhari tukikumbatia vyakula hivi vya GMO

NA MHARIRI MNAMO Jumatatu, Rais William Ruto aliondoa marufuku iliyowekewa vyakula vilivyofanyiwa mabadiliko ya kisayansi almaarufu...

TAHARIRI: Miradi ya nyumba za bei nafuu ikamilishwe

NA MHARIRI UJENZI wa nyumba za bei nafuu kwa wananchi ilikuwa mojawapo ya ahadi kuu ambazo serikali ya Rais William Ruto ilitoa katika...

TAHARIRI: Visasi na chuki ni vikwazo kwa nchi kuendelea

NA MHARIRI UONGOZI ni jukumu kubwa ambalo viongozi hutwikwa na wananchi. Punde baada ya uchaguzi, huwa jukumu la waliochaguliwa...

TAHARIRI: Serikali na kampuni zitoe ajira kwa chipukizi wenye vipaji

NA MHARIRI UKOSEFU wa ajira ni mojawapo ya matatizo yanayokumba si tu taifa la Kenya bali bara zima la Afrika na maeneo mengi...

TAHARIRI: Haki za walemavu zitiliwe maanani kwa CBC

NA MHARIRI KILIO kuhusu utekelezaji wa mfumo wa elimu ya CBC kwa watoto walemavu, kinafaa kuchukuliwa kwa uzito. Kwa muda mrefu sasa,...

TAHARIRI: Wakati wa serikali mpya kuinusuru soka ni sasa

NA MHARIRI MATUKIO yaliyoshuhudiwa wiki hii yametumbukiza wadau wa soka nchini katika giza, mtafaruku, mashaka na hofu kuu kuhusu ni upi...

TAHARIRI: Njia za kujiondoa kutoka muungano wa kisiasa zi wazi, UDM wazifuate

NA MHARIRI KELELE zinazoendelea kusikika kutoka kwa wanasiasa wa chama cha United Democratic Movement (UDM) kuhusu kujiondoa kutoka kwa...