• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 12:58 PM

NGILA: Tulinde watoto dhidi ya dhuluma kwenye mitandao

NA FAUSTINE NGILA MAJUZI nilihudhuria maadhimisho ya Siku ya Usalama kwenye Intaneti yaliyoandaliwa na kampuni ya Facebook ikishirikiana...

Serikali yataka maoni ya Wakenya kuhusu Sheria ya Data

Na FAUSTINE NGILA SERIKALI kupitia Wizara ya Teknolojia, Habari na Mawasiliano imewaomba Wakenya wajitokeze kuchangia kuhusu kubuniwa...

NGILA: Usalama mitandaoni unahitaji ushirikiano kimataifa

NA FAUSTINE NGILA UTOVU wa usalama mitandaoni sasa umekuwa janga la kimataifa, huku mataifa yakipoteza matrilioni ya hela kutokana na...

NGILA: Kenya ifuate mfano wa Israeli kuleta maendeleo

Na FAUSTINE NGILA KWA muda mrefu sasa, Kenya imejivunia jina ‘Silicon Savannah’ ya Afrika kutokana na uwezo wake mkubwa katika...

NGILA: Teknolojia itaendelea kugeuza Krismasi, hivyo jiandaeni

Na FAUSTINE NGILA Kuna wakati mwanzoni mwa karne ya 19 ambapo sikukuu ya Krismasi haikuwa inasherehekewa. Baadaye ilijizolea umaarufu...

NGILA: Data itumike kwa pamoja kufaidi kila mshikadau

Na FAUSTINE NGILA KATIKA wakati huu wa Mageuzi ya Nne ya Viwanda (4IR), misemo ya kiteknolojia kama ‘data kubwa itavuruga kila...

NGILA: Sharti sote tuheshimu sheria ya kulinda data

NA FAUSTINE NGILA DATA za kibinafsi zimekuwa dhahabu kwa kampuni nyingi katika kujiendeleza kiuchumi, hasa katika enzi hii ya mageuzi ya...

NGILA: Sheria ya kupiga droni marufuku inaumiza Wakenya

Na FAUSTINE NGILA NIKIPITIA video za mafuriko msimu huu wa mvua, nilimhurumia mno mwanamume mmoja anayeonekana kukwama katika...

NGILA: Teknolojia itumiwe kuwapa tumaini watoto wa wakimbizi

NA FAUSTINE NGILA WIKI iliyopita Mfumo wa Kimataifa wa Miungano ya Mawasiliano (GSMA) na kampuni ya mawasiliano ya Vodafone...

NGILA: Ujio wa Amazon utaboresha uwekezaji mitandaoni

NA FAUSTINE NGILA TANGAZO la kampuni ya Amerika inayotoa huduma za intaneti na tovuti duniani, Amazon Web Services kuwa itatumia Nairobi...

NGILA: Yafaa ujielimishe mwenyewe kuhusu sarafu za dijitali

Na FAUSTINE NGILA WAKATI mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda alipojitia kitanzi mwezi uliopita...

NGILA: Yashangaza serikali haina nia ya kutumia tekinolojia kumaliza ufisadi

Na FAUSTINE NGILA MIEZI mitatu tangu jopokazi la Blockchain kuwasilisha ripoti yake kwa serikali, hakuna kilichotekelezwa au kufanyiwa...