• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

TZ yachoma samaki wenye sumu kutoka China huku Kenya ikizidi kununua

Na PETER MBURU SERIKALI ya Tanzania Jumatatu iliteketeza shehena ya tani 11 za samaki kutoka Uchina, baada ya kudaiwa kuwa na sumu, ya...

Uchina yafanikiwa kukuza mimea kwa mwezi

MASHIRIKA Na PETER MBURU UCHINA imefanikiwa kupanda mimea kwenye mwezi kwa mara ya kwanza katika historia, baada ya mimea ya pamba ambayo...

Mchina taabani kwa kuuzia wateja hotidogi za nyama ya mbwa

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAUME raia wa China ambaye alikuwa akiishi Marekani alikamatwa na polisi wa New York, baada ya kujulikana kuwa...

Tiketi za SGR: DPP sasa aitisha faili za Wachina

Na PHILIP MUYANGA MKURUGENZI wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameitisha faili ya raia watatu wa China waliokamatwa kuhusiana na...

Hofu mpya kuhusu madeni ya Uchina

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI Jumatatu ilikaa kimya kuhusu taarifa kuwa imepatia China uhuru wa kutwaa mali ya Kenya ipendavyo iwapo...

UBABE: Hatari ya vita baina ya Amerika na Uchina yanukia 2019

NA FAUSTINE NGILA KATIKA taarifa za kimataifa za miaka ya hivi karibuni, vita vya kiuchumi baina ya Amerika na Uchina zimetawala kwenye...

Bandari yetu haitatwaliwa, tutakopa zaidi kutoka Uchina – Uhuru

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amekana madai kuwa Bandari ya Mombasa ilitumiwa kama dhamana kwa mkopo kutoka kwa Benki ya Exim...

Tilapia wa bei nafuu kutoka Uchina ni hatari kwa afya – Utafiti

Na ALLAN OLINGO na FAUSTINE NGILA UTADHANI kitoweo cha samaki unachokula kwenye mikahawa ya mijini hapa Kenya kimetoka kwa maziwa ya...

Hatuna nia ya kutwaa bandari ya Mombasa, China sasa yasema

Na EDWIN OKOTH SERIKALI ya China imekanusha kuorodhesha Bandari ya Mombasa kama dhamana ya kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa nchini...

DENI: Huenda Kenya ikapokonywa Bandari ya Mombasa na Uchina

NA BENSON MATHEKA KENYA imo hatarini kupokonywa bandari ya Mombasa na serikali ya Uchina ili kulipia sehemu ya deni kubwa ambalo...

Wapenzi wa M-Pesa sasa kutuma hela moja kwa moja hadi Uchina

Na BERNARDINE MUTANU WATUMIZI wa M-Pesa sasa wanaweza kutuma pesa moja kwa moja hadi Uchina kwa kutumia mtandao mkubwa zaidi nchi humo,...

MADENI: Kenya hatarini kupigwa mnada na Uchina

PATRICK ALUSHULA Na VALENTINE OBARA Kwa muhtasari: Huenda Uchina ikatwaa Bandari ya Mombasa,  JKIA, Reli ya SGR na ardhi Kenya...