• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 3:34 PM

Wafanyakazi hewa wamemumunya Sh300m Nyamira – Ripoti

NA RUTH MBULA KAUNTI ya Nyamira imewalipa wafanyakazi hewa zaidi ya Sh300 milioni kwa kipindi cha miaka minne iliyopita kulingana na...

Naibu Chansela wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara kikaangoni

Na WANDERI KAMAU CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu Kenya (KUSU) kinamtaka Naibu Chansela wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara Prof Mary...

UFISADI: Uhuru azimia marafiki simu

ANTHONY KITIMO NA MOHAMED AHMED RAIS Uhuru Kenyatta amesema hatakuwa akijibu simu za watu wanaotaka aingilie kati kuwasaidia...

Wakuu wa jela wahamishwa kashfa ikizuka

VINCENT ACHUKA na DOMINIC WABALA SERIKALI imewahamisha maafisa wanaosimamia magereza nchini. Katibu wa Wizara anayesimamia Idara ya...

Komeni kutegemea misaada na kuwa walafi, Amerika yaikemea Kenya

Na JUMA NAMLOLA SERIKALI ya Marekani imeikemea Kenya kwa kuendelea kutegemea misaada kutoka nje, ilhali haijachukua hatua za kutosha...

BABA YAO: Nilikuwa humu humu tu, sikuhepa!

Na ANITA CHEPKOECH BAADA ya mchezo wa paka na panya kushuhudiwa kati ya Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu na maafisa wa Idara ya...

Kalonzo, Mudavadi wamtetea Uhuru

LEONARD ONYANGO na VALENTINE OBARA VIONGOZI wa kisiasa Jumapili walimtetea vikali Rais Uhuru Kenyatta kwa juhudi zake za kupambana na...

Ufisadi ni propaganda tupu – Ruto

Na WAIKWA MAINA na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amepuuzilia mbali kampeni inayoendelea dhidi ya ufisadi akisema ni propaganda...

Kichapo kwa wanasiasa fisadi

 BRIAN WASUNA na BENSON MATHEKA  WATUMISHI wa umma wenye maazimio ya kisiasa walioshtakiwa kwa ufisadi, na wanasiasa wanaokumbwa na...

Kashfa zatia doa uteuzi wa mawaziri

Na VALENTINE OBARA ONGEZEKO la mawaziri wanaoondoka mamlakani katika utawala wa Rais Uhuru Kenyatta, limeibua maswali kuhusu mambo...

TAHARIRI: Kazi kwa mahakama sasa kuhukumu mafisadi

NA MHARIRI Kushtakiwa kwa Waziri wa Fedha Henry Rotich, Katibu wa Wizara Kamau Thugge na maafisa wakuu wengine wa Mamlaka ya Maendeleo...

Vitimbi vya ‘Kamata Kamata’ vyarudi Rotich akibambwa

Na WAANDISHI WETU IDARA ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) Jumatatu ilirejelea shughuli zake za kukamata washukiwa wa ufisadi, almaarufu kama...