• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 4:25 PM

Mombasa yaandaa burudani aali siku ya utalii duniani

Na MISHI GONGO KAUNTI ya Mombasa imeandaa burudani ya kukata na shoka kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani. Sherehe hiyo ambayo...

Fort Jesus yafunguliwa kufufua utalii Pwani

Na DIANA MUTHEU BAADA ya kufungwa kwa miezi sita sasa, hatimaye kivutio maarufu cha watalii eneo la Pwani, Fort Jesus, ilifunguliwa...

Serikali yahakikishia wawekezaji sekta ya utalii kwamba inawapima wageni wote wanaoingia nchini kwa ndege

Na WINNIE ATIENO SERIKALI kuu imewahakikishia wawekezaji katika sekta ya utalii kwamba inaweka juhudi kukabiliana na virusi vya corona...

Utalii kudorora kufuatia mzozo kati ya Kenya na Tanzania

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii wamemsihi Rais Uhuru Kenyatta angilie kati na kusuluhisha utata wa usafiri wa ndege...

Sekta ya utalii kote duniani imepoteza zaidi ya Sh35 trilioni

GENEVA, Uswisi SEKTA ya utalii duniani imeathirika pakubwa kutokana na janga la virusi vya corona huku ikipoteza mabilioni ya hela...

Wito serikali ibuni sera ya kuruhusu ndege kupaa na kutua uwanja wa Moi bila vikwazo

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii wametoa wito kwa serikali ikubali sera inayoruhusu ndege kutua na kupaa katika uwanja...

Tembeleeni mbuga zetu, Balala ahimiza Wakenya

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Utalii na Wanyamapori, Bw Najib Balala ametoa wito kwa Wakenya kutumia muda huu ambao ada zimepunguzwa...

Zuio la usafiri kuingia au kuondoka kwa baadhi ya kaunti kuondolewa?

Na CHARLES WASONGA HUENDA vikwazo wa usafiri vikaondolewa hivi karibuni licha ya ongezeko kubwa la idadi ya visa vya Covid-19 nchini...

Serikali ya kaunti ya Mombasa yabuni mkakati wa kuipiga jeki sekta ya utalii

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI wa sekta ya utalii wamepata afueni baada ya serikali ya Mombasa kutangaza mpango mpya wa kuwanusuru dhidi ya...

Mikakati ipo kulainisha sekta ya utalii baada ya kunywea

Na WINNIE ATIENO WIZARA ya Utalii imewahakikishia wawekezaji katika sekta ya utalii kwamba itaweka mikakati kufufua biashara zao. Hii...

COVID-19: Balala asema sekta ya utalii inapoteza Sh13bn kila mwezi

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Utalii Najib Balala amesema sekta hiyo inapoteza takribani Sh13 bilioni kila mwezi kufuatia mlipuko wa virusi...

FORT JESUS: Historia, utamaduni, utalii, sanaa na utafiti

NA RICHARD MAOSI Ngome ya Fort Jesus inasifika kote ulimwenguni kutokana na muundo wake wa kipekee, mbali na kuchangia kwa uchumi wa...