• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 2:07 PM

Ken Walibora alivyowaathiri wanafunzi wa kigeni

Na YUNING SHEN NINAANDIKA barua hii kwa sababu tu ya kutoa shukrani kwa mwandishi marehemu kwa athari ya vitabu vyake na utu wake...

KAULI YA MATUNDURA: Walibora alivyopagazwa wizi wa miswada

Na BITUGI MATUNDURA MAKALA ya mwandishi Ken Walibora ‘Ukarimu wa Wallah katika tasnia pana ya Kiswahili’ (Taifa Leo, Machi 9, 2017)...

Hospitali yajiondolea lawama kifo cha Walibora

Na CHARLES WASONGA AFISA Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) Dkt Evanson Kamuri amekana madai kuwa wahudumu wa...

KAULI YA WALIBORA: Msimamo wa Prof Ngugi kuhusu tija ya lugha asilia umebaki vilevile kwa muda tawili na umemrinia mengi

Na KEN WALIBORA KINA CHA FIKIRA HIVI karibuni katika mitandao kumezuka mdahalo mkali sana kuhusu utetezi wa Prof Ngugi wa Thiong’o...

KAULI YA WALIBORA: ‘Shosho’ Cecilia ni mfano hai kuwa ujuzi wa mtu hautegemei umilisi wa Kiingereza

Na PROF KEN WALIBORA Hivi majuzi mtangazaji mpya wa kipindi cha Trend cha NTV Amina Abdi alijaribu kumhoji Bikizee wa miaka 80 aiitwaye...

KAULI YA WALIBORA: Jumuiya ya Waswahili inaomboleza majohari adhimu wa Kiswahili

Na PROF KEN WALIBORA JUMAPILI imeanza kwangu kwa kupokea tanzia ya Prof Mwenda Mukuthuria (pichani), mwanataaluma wa Kiswahili...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili kingali halua katika uchanganuzi wa matangazo ya mpira

Na PROF KEN WALIBORA Uchanganuzi wa soka kwa Kiswahili siku hizi ni jambo la kawaida katika runinga za Kenya. Zamani haikuwa hivyo....

NASIKIA SAUTI YA MAMA: Tawasifu yenye mshabaha na maisha ya Ken Walibora

NA ENOCK NYARIKI Jina la utungo: Nasikia Sauti ya Mama Mwandishi: Ken Walibora Kitabu: Riwaya Mhakiki: Nyariki...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili kitakwezwa tu kupitia ari na juhudi za wasemaji wake

Na PROF KEN WALIBORA Mhakiki wa Kinaijeria Obi Wali aliwahi kuuliza: “Kiingereza kingekuwa wapi kama waandishi wa Kiingereza wangeamua...

KAULI YA WALIBORA: Dhana kwamba ufahamu wa lugha aghalabu ni kigezo cha maarifa katika fani yoyote ile inapotosha

Na PROF KEN WALIBORA Nilitumia treni ya SGR kwa mara ya kwanza wiki iliyopita. Safari yangu ya kwenda Mombasa kutoka Nairobi na kurejea...

KAULI YA WALIBORA: Tasnia ya uandishi itazidi kupiga hatua tu iwapo waandishi chipukizi na wale wabobezi wataandika sambamba, kwa sawia

Na PROF KEN WALIBORA Mwanafunzi aitwaye Boniface wa Shule ya Upili ya St Peter’s Mumias alinidokezea hivi karibuni kuhusu mawanio yake...