Sunday, November 22nd, 2020
BI TAIFA OKTOBA 19, 2020
Wendy Barak 24, ni mkaazi wa eneo la Manyani kaunti ya Nakuru.Yeye ni mtaalam wa kurembesha akina dada.Anapenda kutazama soka na kutazama filamu za Afro Sinema. Picha/Richard Maosi