Habari Mseto                                                
                                            
                                        Diwani akana kuua bila kukusudia
 
                                                    
                                                        Diwani wa wadi ya Shimo La Tewa Haron Thethe. PICHA | MAKTABA                                                    
                                                NA BRIAN OCHARO
DIWANI wa wadi ya Shimo La Tewa Haron Thethe ameshtakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia.
Bw Thethe alipofishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Shanzu Bw Robert Mbogo, alikana shtaka la kumpiga mawe hadi kufa Morris Kakunde.
Bw Mbogo aliagiza mshtakiwa kuzuiliwa kwa siku saba.